Na wakimaliza wanaenda kufanya shereheWala hakuna polisi kuchoka
Acheni kulia lia. Si Mbowe keshajitoa?Matokeo ya uchaguzi hutangazwa hata saa 9 usiku,bila kuahirisha zoezi eti kwa Sababu ya Giza.
Binadamu wamezama eti zoezi la kuwaokoa likaahirishwa kwa Sababu ya Giza,akili za kikatili hivi halafu eti mnataka kufanikiwa? Mtasubiri sana.
Kwa wenye umakini, huwa kuna maandalizi ya kupambana na maafa;disaster preparedness.Kwani uchaguzi ni maafa?Zoezi la uchaguzi hupangwa miaka na miezi kabla how come unalinganisha zoezi la uchaguzi na maafa?
Your quite wrong,majanga ya ajali za majini sio jambo jipya kuna Contigency plan,na emergency search and rescue plan.Kama hawana hiyo mikakati basi wamefeili kabisa.Kwani uchaguzi ni maafa?Zoezi la uchaguzi hupangwa miaka na miezi kabla how come unalinganisha zoezi la uchaguzi na maafa?
Tatizo ni Moja kwa nchi zetu.Matokeo ya uchaguzi hutangazwa hata saa 9 usiku,bila kuahirisha zoezi eti kwa Sababu ya Giza.
Binadamu wamezama eti zoezi la kuwaokoa likaahirishwa kwa Sababu ya Giza,akili za kikatili hivi halafu eti mnataka kufanikiwa? Mtasubiri sana.
Mkuu umenena vyema.Niliwahi kusema ccm hawahangaiki na uhai wa RAIA wao wanachohangaika nacho sana ni kuhakikisha wanaendelea kuwepo madarakani.