Kuwa unakandamizwa, unasikia maumivu unatamani upige kelele na kusema yanayokusibu ila uko kwenye maji hivyo ukiachama maji yataingia mdomoni na bado inabidi ubane pumzi.Wakuu
Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Wanabodi tusaidiane kunyambua ujumbe aliouwasilisha Kipanya kupitia katuni hii, umepata chochote au patupu?
View attachment 3416515
Ndio ujueNasikia ameamriwa asitoe katuni zake eti hana vyeti vya tasinia ya habari. Sikujua kuchora katuni unatakiwa uwe na diploma ya uandishi wa habari!
Kipanya mhuni sana japo akili kubwa nimecheka kijinga sanaWakuu
Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Wanabodi tusaidiane kunyambua ujumbe aliouwasilisha Kipanya kupitia katuni hii, umepata chochote au patupu?
View attachment 3416515
Ila Kaa huwa haelei kwenye majiIla ngadu katisha sana kaona jamaa kuzamishwa haitoshi kakamata na kisigino kabisaa