Kwenye hizi wiki akina 'Antony' wanapiga mwingi sana. Hawa sasa ndio wana CCM huru / Wana CCM asili

“Wananchi ndio walitaka na wanataka katiba mpya
Mtu anayesema hatuna haja ya katiba basi huyo yupo mbali na wananchi”... Jaji J. Warioba

Ktk kipindi cha DK 45 ITV sasa
Huyu Jaji akikutana na Aloyce Nyanda anaweza akatema vitu vingi sn sema yule mtangazaji wa ITV (sijui Fahia Middle) huwa ni muoga sn kuuliza maswali ya msingi muda mwingi ni kuchekacheka hana issue yoyote.
 
“Wananchi ndio walitaka na wanataka katiba mpya
Mtu anayesema hatuna haja ya katiba basi huyo yupo mbali na wananchi”... Jaji J. Warioba

Ktk kipindi cha DK 45 ITV sasa
Anaitwa: Balozi Jaji Joseph Sinde Warioba, hapa alipiga vizuri sana
 
Ataachaje kuwa na nyongo wakati misheni zake za kutokulipa kodi zilivunjwaa na jembe..kuna watu ni vilaza sana..yaan mtu ni mwizi alaf kuna mijitu inawashabikia hiv ni lini watu wataacha kufuata hisia zao na kutanguliza maslahi ya nchi?
Inatakiwa uwizi wao uthibitishwe na sheria za nchi sio maneno ya watu.Kama haiwi hivyo tunalea tatizo la kutochukuliana hatua kwahiyo inabaki kua utashi wa aliyeshika mpini kuumiza wenzake wakati yeye akijiweka salama.kwahiyo ukiona mtu mwizi bado yuko uraiani kama mtu huru jua wote wale wale ndo maana hawachukuliani hatua.
 
Hili ndilo tatizo kubwa la watanzania wengi mno..yaan watu hawataki kusoma, kufuatilia habari, kuujua ukwel wao ni kupayuka payuka tu.
Uwizi uthibitishwajee zaid ya kuthibitishwa na taasisi ya serikali ya ukusanyaji mapato kuwa hawalipi kodi? Unataka uthibitisho upi? Unataka uletewe file lake la malipo ya kodi? Unataka kina rugemalira wakwambie wao hawajaiba?
Hili linafikirisha sana kwa akili hizi za watz..tuna safari ndefu sana
 
Huyu Jaji akikutana na Aloyce Nyanda anaweza akatema vitu vingi sn sema yule mtangazaji wa ITV (sijui Fahia Middle) huwa ni muoga sn kuuliza maswali ya msingi muda mwingi ni kuchekacheka hana issue yoyote.
Aloyce Nyanda ni mchochezi anaandaa statement sio swali anataka wewe umalizie ha ha ha mwisho unaonekana wewe ndio umechomoa betri.
 
Mtaka hii ndio kazi unayoweza, kutumia influencers wa mitandaoni kukupamba na kukusifia 24/7.
Ila ipo siku mama Samia atakumulika, maana una upigaji sana
Wanagang mnanyoroshwa taratibu,hizi tuziite kwenzi za kidigitali.
 
Back
Top Bottom