Kwenye hili,wazee walichemsha . . . . . . !!!!

Highlander,sawa ni kweli unaamini hivyo,kuwa si kila walichofikiri wazee wetu wa kale kina makosa.Mimi pia nakubaliana na hapo kuwa sio vyote walikosea,tatizo langu ni kwenye hicho unachodai unaamini,tafsiri rahisi ya kuamini ni kukubali jambo bila ya kuwa na ushahidi,ukishakua na ushahidi inakua sio imani ni fact.Sasa sijui imani yako ikoje hapa.Kuamini kuna matatizo yake,unaweza kuamini hata kwenye jambo ambalo halileti maana.Na hili lako halileti maana,unawezaje humrithi mke wa kaka yako au kufanya nae ngono na ukaona ni sawa?Hii inaleta maana kweli?Pia suala la kufanya ngono na mwanamke zadi ya mmoja kwa wakati mmoja nao ni ujinga mwingine.Hivi imani ya kuamini mwanaume hawezi kuishi bila kuwa na wanawake wengi inatoka wapi?Tumechagua kutafuta namna ya kuhalalisha udhaifu wa kijinga matokeo yake tunatengeneza mila za hovyo tukidhani ni kuwa hornest!
 
Last edited by a moderator:

Ngoja kwanza nikakunywee kahawa!
 
Wanawake mna mambo
SASA JE! Mbona WANAUME KIBAO WANABAMBIKWA WATOTO NA WALA HAWASTUKI!!! SIRI YA KATA AIJUAE MTUNGI! UNALEA TU HUKU MKEO ANAJISEMEA MOYONI WE LEA TUUU ILA UNGEJUA NIMEKUCHAKACHUA KWA MBILIMBI!!!
 
Mkuu,tasavali taratibu mkuu!!

Ha ha ha ha! Hii topic ni very complicated Eiyer, ingawa tumechagua kuirahisisha.

Waislamu kidogo wapo honest na maumbile ya binadamu; na pengine ni hiyo honesty ambayo inakuwa moja ya sababu kwanini UKIMWI upo kidogo sana katika mataifa ya kiislam unapolinganisha na mataifa yenye wakristo wengi. We'll talk some more. I've got to go....
 
sababu leo kuna laptop, huwezi beza aliyegundua ABACUS.

Au huwezi beza mwl wa shule ya msingi sababu ww ni lecturer, ndo anayekuandalia wanachuo.

Kwa mazingira yao, ilikuwa na maana, na tumeweza jifunza ya kujifunza toka kwao.
 
Highlander,ukilipeleka kwenye dini,linakua gumu zaidi.Waislam wamekua wakweli na maumbile ya binadamu gani?Naomba unioneshe mwanaume mwenye mtazamo wa hovyo kama huu alieridhika na wanawake kumi.Ukristo umesimama katika misingi ya uhalisia wa binadamu.Mungu haamui na kubadilisha sheria zake kwa sababu binadamu ni wa hovyo na anafanya mambo hayo huku akijua anafanya nini.Mungu anajua tabia ya kufanya ngono hovyo ni ya mbuzi na kondoo wasiokuwa na ufahamu,leo eti binadamu kuyafanya yale anayofanya mbuzi ni kuwa hornest!
 
Usitupe blanket statements Mkuu.

Mimi sizungumzii excesses za kina Zuma na Mswati. Nazungumzia wale wenye wake wawili, ambao wameingia katika ndoa ya aina hiyo kwa hiari, ambapo wote wanakiri kuridhika katika kila jambo. Wapo watu wa aina hii. We unaona mbuzi hapo eh? Mbona mi naona mbuzi katika tabia za kina Bill Clinton ambao wamesaini ndoa ya mke mmoja alaf wakati wa lunch time wanatoka kwenda 'kutembea' na vibinti vya maofisini kwao ingalau mara moja kwa wiki wakati wa lunch break halaf jioni wanarudi majumbani mwao na kujitia eti wametoka kazini hakuna kilichotokea. Hawa sasa ndio mbuzi!

Eiyer nikwambie kitu, kama una kadogo kako kanafanya kazi pale katikati ya mji jaribu kufuata nyendo za chakula cha mchana ndo utaelewa hizi ndoa za mke mmoja zina uwongo sana ndani yake. Hawa sasa wa kutembea na vibinti wakati wa lunch time ndio mbuzi. Siyo waliotangaza kwamba mke mmoja hawashibi wakaoa wawili kwa uwazi, ambao ni tabia ya waislamu.

Hujanijibi hoja yangu ya idadi ndogo ya watu wenye ukimwi katika nchi za Kiislamu unapolinganisha na nchi zenye wakristo wengi. We unadhani sababu hasa ni nini?
 
Highlander,hakuna tofauti kati ya mtu mwenye mke mmoja halafu ana kimada nje na yule mwenye "wake" wawili,wote hawa wameshindwa kusimamia misingi ya ubinadamu.Mke ni mmoja tu na tendo la ndoa ni SAHIHI kwa mwanamke mmoja tu!Kwenye hoja yako ya idadi ya watu walioathirika,nitakuuliza swali,nini kinasababisha watu waathirike?Ni kuwa muaminifu na ndoa yako ya mke mmoja au wawili,au ni kutokuwa mwaminifu kwenye ndoa?
 
Wewe umeanza kukwepa maswali. Umeanza mchezo uleule wa rafiki yako Sangarara kipindi kile; Unakumbuka? Hujajibu swali langu unataka kwanza mimi nikujibu swali. Jibu la kwangu kwanza.

Labda nifanye re-phrase ya Swali nililokuuliza awali: Hivi Wewe Eiyer unadhani ni kwanini incidence ya AIDS ipo juu sana katika nchi zinazokataza wake wengi, wakati maambukizi yako chini sana katika nchi zinazoruhusu wake wengi? Jibu hili kwanza ndipo nikujibu swali lako, ambalo kwakweli ni zuri kiasi chake ulipouliza ni nini hasa kinaleta ukimwi: ni wake wengi? au kile kinachoitwa zinaa.

Hebu nikuandae pia kwa kukupatia kidokezo hiki: kwamba ukishakuwa umejibu hilo swali langu, nitakuwa na swali la nyongeza ambalo ni hili hapa: kuwa je, ni kitu gani kinasababisha zinaa--kama si njaa kali ya ile sehemu? Lakini hilo la njaa kali nimeshaliongelea hapa, kwamba babu zetu walichagua kukiri kuwapo kwa tatizo hili wakaruhusu mtu kuoa wake wengi. Mwanamume lijali akiona huyu anamlaza usingizi haraka, aweze kuhamia nyumba ingine fasta--hata ikiwezekana usiku huohuo. Akiona na huyo kamlaza usingizi anahamia nyumba ingine mpaka atapolala yeye usingizi. Where is the problem? After all si kama linakuwa zoezi la kila siku. Be honest man....

Babu yangu mimi alikuwa nao watatu--beautiful, graceful tall women, bibi yangu mie akiwa ndo mdogo kuliko wote; I envy that old man. Mungu aileze roho yake pazuri. Uzungu, uzungu, em ondokeni na uzungu wenu hapa! Labda usema Ishu ya kujadili hapa iwe economics za wake wengi. Siyo sexuality.
 
Highlander,ucha ubishi na kukariri.Umekariri kila swali linajibiwa kwa mtindo ulioukariri,hujui kuwa kuna swali linajibiwa kwa kuulizwa swali ili utakapojibu swali unakua umepata jibu la swali lako la mwanzo,so naomba ujibu swali langu ili upate jibu lako.Kuhusu njaa ya pale ndugu yangu hapo pana tatizo.Wanadamu tumepewa hii miili tuliyonayo tuitumie siyo yenyewe itutumie.Tuna mamlaka ya kuiongoza na hapa ndipo tofauti yetu na wanyama inapokuja.Mungu alipotujulisha kuwa tunaweza kuishi bila kufanya dhambi alipouvaa mwili huhuu unaotuhangaisha hakukosea.Wewe unaweza ukaishi bila kufanya ngono kabisa achilia mbali kuwa na mke mmoja.Mungu alipotoa maagizo kuwa tuoe mke mmoja alijua tunaweza,haya mambo ya wake zaidi ya mmoja ni matokeo ya binadamu kuchagua kuendeshwa na mwili matokeo yake tunaanza kutetea upofu huo!
 
Unataka kuleta mahubiri humu! We Eiyer, tuseme hujawahi kusikia kitu kinaitwa capacity utilization? Gari imeundwa. Speed meter inasomeka unaeza fika 180 KM/ H. Unasema eti kwa sababu tukifika 120 KM/H ajali zinaongezeka, kwa hiyo wacha tuishiage tu 30 KM/H, hata kama pana hitaji la kwenda kasi. We namna gani Mangi! Ondoa mahubiri yako hapa.

Natamani kusikia ukisema hili: kwamba binadamu tumeumbwa tofauti-tofauti na huyo Mungu unayemsema. Nakiri kweli Mungu yupo, na ni Mungu mwenye nguvu. Lakini pia naomba wewe ukiri kwamba katuumba wanadamu na capacity tofauti-tofauti. Kuna mtu kaumbwa hata huyo mmoja anamshinda. Mwingine ndo kama babu yangu sasa. Watatu ndo inatoshapo kidogo.

Pili, Labda uniambie mtu awe mkweli katika nafsi yake. Aseme kimoyomoyo, Je huyu mmoja anashiba? Swali la Pili liwe je mimi na huyu mmoja nashiba? Killer assumption hapo Mangi inakuwa kushiba unapofanya ile ishu. Kama Hushibi, hapo patakuja uwezekano wa zinaa. Inakuwa afadhali kabisa kuhalalisha wa pili kukuwezesha kushiba bila zinaa, kwa kuwa unakuwa na ushahidi kuwa Capacity utilization inakuwa haipati mzigo tosha. Ongeza wa pili kama ataridhia.

Na je kama huyo Uliyenaye hashibi? Bembeleza mwana wani tani yako asitoke nje--hata kama ni kutafuta Viagra. Kule kwetu walikuwa na kamzizi fulani kanapatikana milimani kadogoo--viagra haifik popote ukilinganisha na hako kamzizi. Utamlaza usingizi tu! Lazima. Wenye capacity ndogo walisaidiwa na hako. Lakini kwa mtu wa aina hii, Huyo mke mmoja anatosha. Kwa hivo jipime tu kwa uwazi. Una capacity ndogo, huwezi, acha baki na mmoja. Una maguvu ya farasi, beba hata watatu kuepusha zinaa. Babu zetu hawakuwa wajinga kiivyo Mangi.
 
Highlander,nimekuambia kuwa binadamu YEYOTE anauwezo wa kuishi bila sex achilia mbali kuwa na mke mmoja.Huo utofauti wa mtu na mtu nani amekuambia au unautoa wapi?
 
Last edited by a moderator:
Highlander,nimekuambia kuwa binadamu YEYOTE anauwezo wa kuishi bila sex achilia mbali kuwa na mke mmoja.Huo utofauti wa mtu na mtu nani amekuambia au unautoa wapi?

Rudi monastery kwa mapadri wenzako Eiyer. Hatutakaa tukaelewana. WEwe...unaambiwa hata Mtume Paulo alishajua binadamu wengine kuishi bila sex hawawezi. Akasema ukiona huwezi OA! Mimi sasa nakupatia ufafanuzi wa nyongeza katika huu mtizamo wa Mtume Paulo: Ukiona mmoja unashindwa kula ukashiba, chukua wa pili! Kwani usipochukua wa pili utaiba tu kule Zinza Mori, na hilo sasa litakuwa zinaa. Na mimi hapa, mjukuu wa mzee mwenye mitala, nakataa katakata zinaa. Kula walio halali tu! Na uwapende kwa moyo wako wote na kwa nguvu zako zote!

Eiyer ndugu yangu, ukiona sikujibu post yako yoyote ujue labda pengine ntakuwa nimetingwa sehemu na nyumba ndogo. Ha ha ha ha! Hawa wadogo huwa inakuwa shuhuli kwelikweli. Ha ha ha ha!
 
mwili usikusumbue utazikwa kaburini na yote ni ubatil na kujilisha upepo!
 
Highlander,sijui huelewi wapi,unanipa mfano wa mapadri ambao wana matatizo yale yale ya kuendeshwa na mwili.Hakuna mpya hapo.Kuhusu Paulo,nashindwa kuelewa sijui unashindwaje kuelewa.Mungu anajua kuwa mwanadamu anaweza akaishi bila sex lakini akatoa ruhusa kuoa mwanamke mmoja tu.Sasa hii ya kudai "wake wengi" sijui unaitoa kwa Mungu yupi,unless uwe huamini uwepo wa Mungu,ila kama unaamini hiyo dhana ya mke zaidi ya mmoja utakua hujaitoa kwa Mungu ninaemwamini mimi.Kwanza mke ni mmoja tu ukiongeza mwingine huyo ni kimada sio mke.Hivi nikuulize ndugu yangu,ni nini lengo la kuwa na mahusiano na mwanamke zaidi ya mmoja?
 
wewe utakuwa padri tu. dhana ya mke mmoja najua unaipata katika agano la kale. kwamba mungu alimuumbia adamu mke mmoja tu. kitu ambacho wewe ndugu yangu unakwepa kujadili ni hiki, kwamba kwanini huyohuyo Mungu akaweka capacity kubwa kiasi hiki? Mungu unayemwamini ndo huyohuyo mimi namwamini. kwenye sunday school wanaongeaga kama wewe hivyo hivyo lakini hakuna hata mtu mmoja anajadili capacity utilization. Haya, wewe unalisemeaje hili la capacity utilization...
 
Hivi Highlander hiyo capacity kubwa ambayo unadai Mungu ameweka ni ya nini?Umeipima na nini?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom