comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,447
- 11,505
Kuna jamaa muislamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!
Wakati wa saa moja kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shekhe aliefungisha ndoa kapigwa buku 5 tu ya maji.
Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu 50.
Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.
Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.