Kwenye hili nawalaumu dstv

Kwenye hili nawalaumu dstv

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
616
Reaction score
183
Imekuwa kero na balaa kwa hizi decoder za DSTV mpya DSD 3U,kufa upande wa audio(Sauti),ndio tatizo linalokera saana,tofauti na decoder zile za awali kubwa na zenye cover la bati,mbaya zaidi unawapigia wanadai kukubadilishia itakugharimu elfu 40.
 
Back
Top Bottom