KaraiNimesoma sijaelewa, kama huna hoja ya maana kaa kimya.

Lakini Miguna alikuwa anafanya kazi zake Kenya na pia uchaguzi uliopita aligombea Nairobi against Sonko lakini hakuna mtu aliyezungumza kuhusu uraia wake hadi aliposhiriki kumuapisha OdingaUkiamua kuanzisha mada jitahidi kuwa na information za kutosha kuhusu mada yenyewe,
ni kweli Miguna ni mzaliwa wa Kenya lakini 1987 aliukana uraia wa Kenya ili apate uraia wa Canada, kumbuka mwaka huo katiba ya Kenya ilikuwa hairuhusu Dual Citizenship, baada ya Kenya kuruhusu Dual Citizenship 2010 katiba inaelekeza raia mzawa aliyekana uraia lazima aombe upya, tangu mwaka huo Miguna hajaomba 'kihalali' uraia wa Kenya ingawa mwaka 2009 alipata passport ya Kenya illegally hata hivyo hiyo passport imesha expire na hajai renew.
Kwa kukuongezea tu Miguna aliukana uraia wa Kenya 1987 ili apate wa Canada baada ya kufukuzwa Nairobi University ambapo alikuwa kiongozi wa wanafunzi.
Kama nani mkuu?Uhuru Kenyatta ni dikteta.
Vipi ulitaka asolve vipi ile sakataSipambani nao.
Nawaambia ukweli tu.
Kumbe alisharudi kiongozi? Alichoka kuuza supermarket kule.Nyani Ngabu ana mapenzi ya dhati sana na Msukuma mwenzake, najiuliza, hivi Fid Q ndio kamrudisha Nyani Ngabu Tz ili iweje? Ila nikikaa JamiiForums nauona sababu ya kwanini Nyani Ngabu yupo BONGO Leo
Mlipoamua kujiingiza kwenye siasa za nchi jirani ya Kenya hapo mwaka jana hususan kwenye kipindi cha uchaguzi wao mkuu na kuamua kumuunga mkono waziwazi mgombea wa Jubilee Bw. Uhuru Kenyatta, mimi nilikuwa ni mmoja wa watu humu tuliolaani uamuzi wenu huo.
Hata Rais Magufuli [kabla hajawa rais] alipojiingiza na kwenda kupiga kampeni na Bw. Raila Odinga, napo nililaani.
Mwenyekiti wenu CHADEMA alidai kwamba eti Kenyatta “ameonyesha mfano wa demokrasia ya dhati katika nchi”
Mwenyekiti wenu huyo akaendea kusema kuwa eti katika miaka yote mitano ya utawala wake kwenye huo muhula wa kwanza hakuna mwanasiasa hata mmoja aliyewekwa kizuizini.
Akaendelea kumwaga masifa tele kwa Uhuru Kenyatta.
Na simzushii. Msikilizeni wenyewe msikie alichokisema
Uchaguzi ukaja na Uhuru akashinda. Matokeo yakabatilishwa na ukarudiwa tena na akashinda tena.
Lakini ushindi wake huo umekuwa ukipingwa sana. Umepingwa hadi kufikia yule aliyekuwa mshindani mwenzake kuamua kujitangaza yeye kuwa ni rais wa watu na kupelekea kuapishwa kimaigizo.
Alichokifanya huyo Kenyatta baada ya hizo ‘stunts’ za Raila na wenzake ni kuanza kuwashughulikia hao wapinzani kwa kutumia vyombo vya dola.
Kafungia vituo kadhaa vya televisheni kisa tu vilionyesha uapisho wa Raila.
Kama hiyo haitoshi, jana/juzi serikali yake imemfukuza kutoka Kenya mmoja wa wakosoaji wake wakubwa sana aitwaye Miguna Miguna.
Kwa hapa Tanzania huyo bwana naweza kumfananisha na Tundu Lissu kutokana na umachachari wake.
Eti karudishwa kwao Canada! Inavyodaiwa kitendo cha yeye kufukuzwa Kenya ni ukiukwaji wa katiba na haki zake yeye Miguna kwa sababu ni mzawa wa Kenya.
Hayo yote yanatokea chini ya utawala wa Uhuru Kenyatta na naamini kabisa kuwa naye anahusika moja kwa moja na yote yatokeayo.
Sasa nyie makamanda mnayemuona huyo Uhuru kama ndo mfano wa mwanademokrasia wa ukweli mnasemaje kuhusu yanayoendelea huko Kenya?
Hakika CHADEMA mlikosea sana kujiingiza katika mambo yasiyowahusi. Mnazidi kuwahakikisbia watu walio na mashaka na nyinyi kuwa hamfai kabisa kuongoza nchi.
Uhuru wenu anawaumbua sasa hivi. Mlichemka.
Napingana na dhania kuwa CCM nilikuwa na Upande, ila ni kwa muda mrefu Magufuli ni Swahiba wa Odinga hata kabla ya kupata U-Nyerere. Wala hakuwahi kulitolea tamko kwa niaba ya Chama chake hata baada ya Odinga kumtembelea Chato kwa lengo la kumpongeza. Karata hii walijaribu kuitumia CDM Kumfitinisha Uhuru na Magufufuli wakitarajia maslahi ya kisiasa, bahati mbaya chaguo hili halikuwa sahihi sababu uswahiba binafsi hauyumbishi maslahi ya ushirikiano wa kimataifa.CHADEMA haikujiingiza kwenye siasa za Kenya kwa sababu nyingine yoyote mbali na ukweli kuwa walitaka kutofautina na CCM ambao walishajulikana tangu awali kupitia kiongozi wao mkuu kuwa wapo upande wa upinzani, NASA.Yaani, tulichukua local politics zetu na kuzipeleka kwenye uchaguzi wa Kenya. I strongly believe that, if CCM was indifferent on Kenya politics, CHADEMA would as well follow the same route.
Inasemekana Canada ndo imemtaka raia wake... wakihofia angechinjwa koromeo lake.
Aikuwa anafanyakazi illegally.Lakini Miguna alikuwa anafanya kazi zake Kenya na pia uchaguzi uliopita aligombea Nairobi against Sonko lakini hakuna mtu aliyezungumza kuhusu uraia wake hadi aliposhiriki kumuapisha Odinga
Kama unaishi kwenye nyumba ya vioo usianzishe ugomvi wa kurushiana mawe, uhaini ni kosa kubwa sana, kapandishwa ndege na kandambili.Komredi....Miguna ghafla kawa raia wa Canada baada ya kuanza kumkosoa Uhuru.
Lakini cha ajabu, kipindi anamkosoa Raila aliwahi hadi kualikwa kwenye sherehe za ikulu ya Kenya [Uhuru akiwa ni rais].
Pia keshawahi kuwa mshauri wa waziri mkuu Odinga [hapo hakuwa si raia].
Majuzi tu hapa kagombea ugavana wa Nairobi na hakuna aliyemsumbua kuhusu uraia wake.
Alipoanza tu kumkosoa boy wonder [Uhuru] suala la uraia ndo limeibuka.
Things that make you go hmmm....
Mtu ambaye kwao hata ustaarabu wa kujenga vyoo bado haujaeleweka bado wanakunya ziwani unategemea atakuwa na akili gani?Nyani Ngabu ana mapenzi ya dhati sana na Msukuma mwenzake, najiuliza, hivi Fid Q ndio kamrudisha Nyani Ngabu Tz ili iweje? Ila nikikaa JamiiForums nauona sababu ya kwanini Nyani Ngabu yupo BONGO Leo
Mlipoamua kujiingiza kwenye siasa za nchi jirani ya Kenya hapo mwaka jana hususan kwenye kipindi cha uchaguzi wao mkuu na kuamua kumuunga mkono waziwazi mgombea wa Jubilee Bw. Uhuru Kenyatta, mimi nilikuwa ni mmoja wa watu humu tuliolaani uamuzi wenu huo.
Hata Rais Magufuli [kabla hajawa rais] alipojiingiza na kwenda kupiga kampeni na Bw. Raila Odinga, napo nililaani.
Mwenyekiti wenu CHADEMA alidai kwamba eti Kenyatta “ameonyesha mfano wa demokrasia ya dhati katika nchi”
Mwenyekiti wenu huyo akaendea kusema kuwa eti katika miaka yote mitano ya utawala wake kwenye huo muhula wa kwanza hakuna mwanasiasa hata mmoja aliyewekwa kizuizini.
Akaendelea kumwaga masifa tele kwa Uhuru Kenyatta.
Na simzushii. Msikilizeni wenyewe msikie alichokisema
Uchaguzi ukaja na Uhuru akashinda. Matokeo yakabatilishwa na ukarudiwa tena na akashinda tena.
Lakini ushindi wake huo umekuwa ukipingwa sana. Umepingwa hadi kufikia yule aliyekuwa mshindani mwenzake kuamua kujitangaza yeye kuwa ni rais wa watu na kupelekea kuapishwa kimaigizo.
Alichokifanya huyo Kenyatta baada ya hizo ‘stunts’ za Raila na wenzake ni kuanza kuwashughulikia hao wapinzani kwa kutumia vyombo vya dola.
Kafungia vituo kadhaa vya televisheni kisa tu vilionyesha uapisho wa Raila.
Kama hiyo haitoshi, jana/juzi serikali yake imemfukuza kutoka Kenya mmoja wa wakosoaji wake wakubwa sana aitwaye Miguna Miguna.
Kwa hapa Tanzania huyo bwana naweza kumfananisha na Tundu Lissu kutokana na umachachari wake.
Eti karudishwa kwao Canada! Inavyodaiwa kitendo cha yeye kufukuzwa Kenya ni ukiukwaji wa katiba na haki zake yeye Miguna kwa sababu ni mzawa wa Kenya.
Hayo yote yanatokea chini ya utawala wa Uhuru Kenyatta na naamini kabisa kuwa naye anahusika moja kwa moja na yote yatokeayo.
Sasa nyie makamanda mnayemuona huyo Uhuru kama ndo mfano wa mwanademokrasia wa ukweli mnasemaje kuhusu yanayoendelea huko Kenya?
Hakika CHADEMA mlikosea sana kujiingiza katika mambo yasiyowahusi. Mnazidi kuwahakikisbia watu walio na mashaka na nyinyi kuwa hamfai kabisa kuongoza nchi.
Uhuru wenu anawaumbua sasa hivi. Mlichemka.
Aikuwa anafanyakazi illegally.
Hiyo huwa inatokea hata sisi tulishawahi kuwa na ma DC wenye uraia wenye utata, hata wa Kongo wanadai rais Kabila ni Mnyarwanda, ndio maana nimesema ukiishi nyumba ya vioo usianzishe vita ya mawe mwenyewe kaanzisha wenzake wamemalizia.Jee unajua umeya wa Nairobi ni zaidi ya waziri? Security apparatus zilikuwa wapi?