LATTICE BOND
JF-Expert Member
- May 30, 2011
- 219
- 48
Kweli kabisa acha awabane maana weye bili yako ya umeme unalipia Kenya, maji umeunganisha kutoka Rwanda na unapougua unatibiwa Zambia!!Safi sana Makinda wape kibano na hawana pakushtakia, mtoto wa kambo lamwe hadeki kudadadeki..
Nduka, you're short sighted. The current parliament with the majoruty of CCM MPs will only boo hoja bungeni but will not woo out our our ego of CHANGE.CDM kama ilivyo kwa waasisis wake ni watu waliojiajiri (wajasiriamali) na ugumu katika sekta hii unajulikana na ndiyo maana those comrades wants eradication of unneccessary dublicated allowances from their salaries.Wacha Ana Makinda awabanie hoja itarudi kwa wananchi, na safari hii (2015) watajua nini nguvu ya umma.Safi sana Makinda wape kibano na hawana pakushtakia, mtoto wa kambo lamwe hadeki kudadadeki..
hivi akitokea mbunge aliyeruhusiwa kuchangia hoja au kuuliza swali la nyongeza halafu akasimama na kusema sentensi ifuatayo bungeni kisha kukaa kitini au kutoka nje ya bunge baada ya kuisema itakuwaje ama spika atafanya nini? [TOA MAONI YAKO KAMA UNGEKUWA SPIKA]:-
"JAMANI WAHESHIMIWA WABUNGE, SINA IMANI NA MWENENDO WA SPIKA KATIKA KUISIMAMIA SERIKALI"
NCCR hawakupoteza kutokana na mwenendo wao bungeni Bali walifarakana wenyewe kwa wenyewe na hivyo Chama kikasambaratika kabla ya uchaguziHistory reapts itself,kawaulize nccr-m yaliyowakuta 2000 baada ya ushindi wao wa1995. Kwa mwenendo wa wabunge wa cdm,mwaka 2015 utakuwa mbaya sana kwenu. Watanzania wanataka maendeleo hawawezi kula maandamano. Ole wenu!
na ujue atachanganya na kilugha cha huko njombe kidogo ili kuonyesha msisitizo alaaaSpika atasimama kisha kwa sauti isiyo na mvuto wa kike, atasema "...Waheshimiwa Wabunge tusiwe kama watu wa Kariakoo....."
hivi ni clap au crap??? cra.Na bado! Magwanda mtakoma mlikua mnajua kutakua na mteremko eeh? Bwahahah imekula kwenu mazima Njuka nyie
Safi sana Makinda wape kibano na hawana pakushtakia, mtoto wa kambo lamwe hadeki kudadadeki..
hivi ni clap au crap??? cra.