Kwenye Dunia Ya Kwanza ! .

Kwenye Dunia Ya Kwanza ! .

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
To the world revolution.
Is an idea for a new , global activist.
Social movement for progressive, social change it aims to resolve in a difinitive and comprehensive manner, the major social problems of our world and our era.

Major issue areas of the world revolution, include ;- 1. Peace
2. Human right
3. The enviroment and world poverty.

Baada ya utangulizi huo niseme nilipolenga ktk maada yangu ni hapo kwenye "Human rights"

Australia leo kumefanyika wedding ya same-sex , ya Ke na Ke .
Juzi ilifungwa ya Me kwa Me.
Na bado Newzeland kuna ndoa kibao za aina hii zinaandikishwa.
Imethibiti kwamba raia wa Australia wameisubiri sheria ya ushoga almost for decade.
"Marriage is the union of two people, regardless of their sex, sexual orientation, or gender identity" (Hicho kifungu kipo katika katiba ya Australia)
Wakati fulani nimepata kusikia, mfungishaji ndoa mmoja akifungisha couple ya Me na Me, alipofikia kudeclare kua "kuanzia sasa nyie ni mke na mume" akapata uzito flani, (kwani akiwaona wote ni Me!)
Ikabidi awambie "kuanzia sasa nyie ni Man United"

Sisi tunaitwa wa Dunia ya 3 !
Wengi wetu hatujakubaliana na mfumo huu.
Hawa wa dunia ya kwanza ndiyo hao wamefika hapo.
Ipi dunia ya maana?
 
hakuna cha maana ni ubatili mtupu ndo mana suleimani
alisema mamboyote ni ubatili mtupu
 
Back
Top Bottom