Madaga
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 563
- 736
Nimewahi kuwa na Tecno Cx Air, baadhi ya specifics zilikuwa tofauti kabisaaWanatoa india hizo simu zinapouzwa una ushahidi sio accurate?
Nimewahi kuwa na Tecno Cx Air, baadhi ya specifics zilikuwa tofauti kabisaaWanatoa india hizo simu zinapouzwa una ushahidi sio accurate?
Uliangalia exactly model ya hio cx Air? Maana unakuta simu moja mfano galaxy s8 ina varietes nyingi zipo version za exynos za snapdragon etc kutokana na eneo ilipokusudiwa kuuzwa.Nimewahi kuwa na Tecno Cx Air, baadhi ya specifics zilikuwa tofauti kabisaa
Mkuu upo sahihi kwenye depth of field ila pia zipo camera nyengine ambazo zinafanya simultaneously na main camera vile vile.
Ukitaka kujua usanii wa Tecno/itel/infinix nenda gsmarena kaangalie specs za hizo camera ndio utajua.
Mfano hot 8 ina triple camera kama hivi
View attachment 1257568
Qvga mwaka 2019, hio ni 320x240 kama sio urembo inafanya nini hapo?
Aiseee QVGA?!?! 🤣🤣🤣🤣🤦🏽♂️🤦🏽♂️Mkuu upo sahihi kwenye depth of field ila pia zipo camera nyengine ambazo zinafanya simultaneously na main camera vile vile.
Ukitaka kujua usanii wa Tecno/itel/infinix nenda gsmarena kaangalie specs za hizo camera ndio utajua.
Mfano hot 8 ina triple camera kama hivi
View attachment 1257568
Qvga mwaka 2019, hio ni 320x240 kama sio urembo inafanya nini hapo?
Wewe ndio mshamba bado, kwani unako pita sasa hivi mwenzio nalisha pita kitambo sana ndio maana nikagundua kuwa huo ulioutaja hapo juu ni uchafu tu kama takataka zinginePunguza USHAMBA!..
sasa hivi upo wapi?🙂Wewe ndio mshamba bado, kwani unako pita sasa hivi mwenzio nalisha pita kitambo sana ndio maana nikagundua kuwa huo ulioutaja hapo juu ni uchafu tu kama takataka zingine
Niliangalia vizuri saanaUliangalia exactly model ya hio cx Air? Maana unakuta simu moja mfano galaxy s8 ina varietes nyingi zipo version za exynos za snapdragon etc kutokana na eneo ilipokusudiwa kuuzwa.
Model huwa wanaziandika kwa juu kabla hujaanza kusoma specs.
Unaweza ukaieka hapa hio model tuhakiki? Na huo utofauti uliouona?Niliangalia vizuri saana
sasa hivi upo wapi?🙂
punguza USHAMBA!!..Niko mbele yako kimbia sana labda waweza nikuta
Mkuu natumia Umidigi Power 64GB ROM 4GD RAM 16MP + 5MP rear Camera and 16MP Front Camera wakati nikiisubiria Umidigi A5 Pro. Hata Mimi nimeona nilivyozuia hizo Camera. Nadhani Kuna Team Work Fulani Kati ya hizo Camera.Sijaona umuhimu wa kufuatilia uzi wote, ila nimefanya majaribio kwenye GALAXY A20 yenye dual camera.
Basically ukiziba camera ya juu, hakuna effect inayoonekana. Ila ukiziba camera ya chini hakuna picha inayoonekana. Bila shaka Main Camera ndio kila kitu, na ukiiziba basi ile camera ndogo haina maana.
Hivyo siwezi kuziponda hizo simu zingine kwani hii mechanism ni complex, na sio sawa na kuwa na camera mbili side by side bali camera zote zinafanya kazi pamoja kwa sheria za pamoja.
Mkuu natumia Umidigi Power 64GB ROM 4GD RAM 16MP + 5MP rear Camera and 16MP Front Camera wakati nikiisubiria Umidigi A5 Pro. Hata Mimi nimeona nilivyozuia hizo Camera. Nadhani Kuna Team Work Fulani Kati ya hizo Camera.
Acha ulimbukeni, na sio Kila uzi uweke komenti.Samahani hiyo Infinix, Itel, Tecno ni vitu gani maana binafsi ukizungumzia cm najua unazungumzia Iphone, Sony, LG, Samsung, Nokia nk

Mkuu huyu si mshamba tu na nilimbukeni pia.punguza USHAMBA!!..
Juzi nikawa naangalia camera ya Infinix hot 7 camera mbili nikawa nafikiria inakuwaje camera mbili zinfunction at the same time nikasema labda camera moja ni ya beauty nyingine in ya portrait au panorama. Si nikapata idea kwa nini nisizibe camera moja ili nione ipi ina kazi gani, nikakuta camera inayofanya kazi in ile ya juu ikimaanissha kwamba ile ya chini ni urembo.
Nikasema labda ni mbovu kuja kuangalia Tecno ya mtu yenye camera mbili ni hivo hivo.
Wazee hebu jaribuni kuangalia camera zenu alafu mnipe mrejesho.
Hakuna unachojua...Hamna kitu mbwembwe tu
Mkuu upo sahihi kwenye depth of field ila pia zipo camera nyengine ambazo zinafanya simultaneously na main camera vile vile.
Ukitaka kujua usanii wa Tecno/itel/infinix nenda gsmarena kaangalie specs za hizo camera ndio utajua.
Mfano hot 8 ina triple camera kama hivi
View attachment 1257568
Qvga mwaka 2019, hio ni 320x240 kama sio urembo inafanya nini hapo?
HAHAHAHA sasa hiyo Qvga inatafuta nini hapo? hawa jamaa hawapo serious.