Kwenu yapo haya?

Eee yapo yanaitwa makomamanga
 
[emoji102] [emoji102] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] yanatoweka kwa kasi kwakuwa ni matundapori na serikali haina mpango wowote wa kuyaendeleza
kwetu stuttgart yapo kwa wingi na ya aina mbalimbali, makubwa kwa madogo. yanauzwa sokoni fungu euro 2 na centi 25
 
[emoji102] [emoji102] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] yanatoweka kwa kasi kwakuwa ni matundapori na serikali haina mpango wowote wa kuyaendeleza
inasikitisha kwa kweli. lakin hatuna budi sisi wananchi tuchukue hatua
 
MI NAZIPENDA MADA ZAKO ILA UKIGUSA TUU ULOKOLE LAZIMA TUTOFAUTIANE AISEE😀
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Umenikumbusha mbali mkuu; hayo matunda yanaitwa songwe huko kwetu, tulikula sana miaka ya 99 kurudi nyuma;
Tuliambiwa ukiyala sana unalewa, sijui kama kuna ukweli wowote!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…