S StudentTeacher JF-Expert Member Joined Jan 30, 2019 Posts 6,928 Reaction score 8,338 Oct 15, 2021 #1 Naomba kuuliza je,ni faida zipi anazonufaika nazo wakili endapo akiwa anashinda kesi anazowakilisha ukiacha malipo anayolipwa na wateja wake?
Naomba kuuliza je,ni faida zipi anazonufaika nazo wakili endapo akiwa anashinda kesi anazowakilisha ukiacha malipo anayolipwa na wateja wake?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,771 Reaction score 126,707 Oct 15, 2021 #2 Kutengeneza uaminifu, koneksheni na kupata wateja wengi. Kifuatacho ITV ni.......