Kwenu wanawake wenzangu

Mimi niliacha kabisa kumsubirisha Mkaka anayenipenda.
Kama nimeelewa sera zake na ananijali vizuri ni ndio ya haraka kama naapishwa vile πŸ˜›πŸ˜œ
 
Wewe kama kweli ni mwanamke hukuwa na sababu za msingi za kutaka tukutambue kama mwanamke.
 
Bro wewe unapenda kuzungushwa au hupendi?
 
Wanawake mna kazi sana, hadi umfahamu mtu ni kazi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…