Umenikumbusha kisa kimoja kilitokea saloon mchepuko amekutana na mother house, kwakuwa alishaelezwa mengi kuhusu mother house hakuwa na heshima alimpiga kikumbo mother house akasonya wewe we we mchepuko ukaanza hujui kutandika kitanda mwanamke huna shukrani wewe baba yako kalipiwa bill ya hospitali milioni 5 juzi
Ilibidi mwenye saloon kutumia nguvu na busses kumkamata mchepukoakisaidiwa na wafanyakazi wengine akawekwa ofisini kwanza mume alipogiwa simu akaja kumchukua mkewe
Matatizo ya kupata mchepuko kutoka Kwamtogole, watoto wa kisure wakiwa michepuko hawaropoki hovyo na nyumba wanajengewa kama mwanaume anapata upepo wa makinikiaTchaaaaa
Huyo mwanaume pimbi kweli kweli
Anavyoelezea.mapungugu ya mkewe kwa mcheps utadhani yeye hana yake
Hapo chachaMatatizo ya kupata mchepuko kutoka Kwamtogole, watoto wa kisure wakiwa michepuko hawaropoki hovyo na nyumba wanajengewa kama mwanaume anapata upepo wa makinikia
Unajua mume wa mtu anapo tongoza hawezikukuambia it's all roses at home lazima aziingize umuonee huruma kuwa roho yake inahitaji faraja.Hapo chacha
Kuna micheps ikimuona mother house inabadili mwelekeo... unadhani mke atashtuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna brother kapiga simu kwa mamaake( Wakati Mamayake yupo Oman ) Akamwambia Mama tangu uondoke Fatu ananinyima....dah, nilimuona wa ajabu( Anyways hajielewi...akasaidiwa majukum...kumbe hakuwa akipewa kwa sababu arudipo mdomo unakuwa na harufu kali mno...sigara, kubeli( kwingine zinatumiwa kama kawa ) primus, Ugoro, Bangili, hapo bado miguu nayo inatema smells, afu akifika anataka vitu.....ikabidi nimuambie brother usipojirekebisha nitakuwa nakubandulia mkeo.....kajirekebisha sasa ni mtu saafi kabisa kesi za kishenzi shenz zimeisha
HaaaaahaaUSITUPANGIE
Tatizo Kuna baadhi ya wanawake hawaelewi kuwa mwanaume anapokutongoza usidhani hampendi mkewe....ila ufisi-maji wao tu...Unajua mume wa mtu anapo tongoza hawezi Kiluambia it's all roses at home lazima aziingize umuonee huruma kuwa roho yake inahitaji faraja.
Kuna mmoja baada ya kumbiwa hayo nae ameanza kumpaka mother house kazini kwake mwanaume alimmwaga hapo hapo akaanza kulia jamani ananilipia kodi ya nyumba
Mimi ni mmoja wapo, yaani ukimzingua wife na nakuzinguaTatizo Kuna baadhi ya wanawake hawaelewi kuwa mwanaume anapokutongoza usidhani hampendi mkewe....ila ufisi-maji wao tu...
Tena kuna baadhi ole wako umghasi mkewe...ndio tiketi yako
Kwanini unachepuka?Mimi ni mmoja wapo, yaani ukimzingua wife na nakuzingua
Safi...Mimi ni mmoja wapo, yaani ukimzingua wife na nakuzingua
Eeh si hivo hapo vimetajwaKuna viumbe vichaa zaidi ya wanawake[emoji13] [emoji13]