Kwenu wanaume wa aina hii.... mna wazimu???

mchakavumlasana

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
389
Reaction score
213
Habari zenu....

Naongea na aina hii ya wanaume leo...

• hivi wewe mwanaume unayempa siri za nyumba yako mchepuko...una kichaa?????

•na wewe ambaye hakuna unachopanga na mkeo bila mama yako kujua na kuidhinisha...ulioa ili iweje wakati unajua hujakua????

• na nyie wanaume mnaokataza wake zenu biashara ndogondogo eti hazina hadhi yenu wakati hata hela ya chumvi hamtoi ...mna kichaa????

• na nyie msiohudumia wake na watoto zenu.....na mna kipato kikubwa...kilochowafanya muoe ni nini??? Halafu hamjiulizi wake na watoto zenu wanakula wanasoma wanalipa kodi za nyumba na mnarudi kulala kwenye hizo nyumba? Vichwa vyenu vizima kweli???

• nawauliza nyie ambao mnaacha 20, 000 kwa mwezi tena kwa masimango halafu mnanunulia hawara vitz... madishi yenu yapo sawa kweli?????

• bado naongea na nyie ambao hamtaki wake zenu wafanye kazi... mmewakuta wanasomesha ndugu zao...wakiomba 1000 ya nauli mnawasimanga wakati dada zenu mnasomesha? Roho mbaya gani hizi????

• na tena nyie mnaorudi majumbani kwenu usiku wa manane na kupiga wake zenu na watoto ..pombe unywe wewe kero mkere wengine.....vichwa vyenu vizima kweli????

• na nyie mnaotukana wake zenu na ukoo wenu madishi yenu vichwani yanakama vizuri kweli???

Na nyie wanawake mnaovumilia haya mkqpimwe akili....

Mwanaume atakayepovuka hapa litakuwa limemchoma.
 
Wapi foma yangu nitoe povu la maana manake duh... Uanaume huu jamani kama kungekuwa na namna ya kujiuzulu ningeshafanya hivo kitambo.. manake kina bibie nao mnakuta wote watumishi jadi kusaidiana lakini siku ya mshahara bado utaambiwa tu baby nywele zinahitaji retouch.... jamani uanaume nao kazi ..
 
'"...bado naongea na nyie ambao hamtaki wake zenu wafanye kazi... mmewakuta wanasomesha ndugu zao...wakiomba 1000 ya nauli mnawasimanga wakati dada zenu mnasomesha? Roho mbaya gani hizi????"....

Hii sio tabia nzuri kwa kweli, maisha sasa hivi ni kusaidiana...Muda wa mwanamke kukaa kama Golikipa umepitwa na wakati
 
Wapi foma yangu nitoe povu la maana manake duh... Uanaume huu jamani kama kungekuwa na namna ya kujiuzulu ningeshafanya hivo kitambo.. manake kina bibie nao mnakuta wote watumishi jadi kusaidiana lakini siku ya mshahara bado utaambiwa tu baby nywele zinahitaji retouch.... jamani uanaume nao kazi ..
Unatamani kujiuzuru uanaume ili uwe mwanamke? MMmmh
 
Kuna brother kapiga simu kwa mamaake( Wakati Mamayake yupo Oman ) Akamwambia Mama tangu uondoke Fatu ananinyima....dah, nilimuona wa ajabu( Anyways hajielewi...akasaidiwa majukum...kumbe hakuwa akipewa kwa sababu arudipo mdomo unakuwa na harufu kali mno...sigara, kubeli( kwingine zinatumiwa kama kawa ) primus, Ugoro, Bangili, hapo bado miguu nayo inatema smells, afu akifika anataka vitu.....ikabidi nimuambie brother usipojirekebisha nitakuwa nakubandulia mkeo.....kajirekebisha sasa ni mtu saafi kabisa kesi za kishenzi shenz zimeisha
 
Mi nasema na hao wanawake wanayokutwa na hayo wakome maana wengi wali nyanyapaa wanaume kipindi cha urembo wao kwa kigezo cha pesa na sasa walikoangukia mizigo wameshashushwa na kibao kimegeuka baada ya urembo kupungua, na wakome kwa upumbavu wao!
 
Alafu siku nyengine uache uboya wa kutuongelea wanaume kwa dizaini kama hizo...
Unatuuliza tuna wazimu, wewe umejiona ni mzima??
Na labda niseme tu kwamba siwezi kuona mwanaume anadhalilishwa alafu mimi nikafurahia, My dear sister nitaununua ugomvi kwa gharama yoyote ile...
 
Tulia dawa ikuingie wewe
 
Habari zenu....

Naongea na aina hii ya wanaume leo...

• hivi wewe mwanaume unayempa siri za nyumba yako mchepuko...una kichaa?????

•na wewe ambaye hakuna unachopanga na mkeo bila mama yako kujua na kuidhinisha...ulioa ili iweje wakati unajua hujakua????

• na nyie wanaume mnaokataza wake zenu biashara ndogondogo eti hazina hadhi yenu wakati hata hela ya chumvi hamtoi ...mna kichaa????

• na nyie msiohudumia wake na watoto zenu.....na mna kipato kikubwa...kilochowafanya muoe ni nini??? Halafu hamjiulizi wake na watoto zenu wanakula wanasoma wanalipa kodi za nyumba na mnarudi kulala kwenye hizo nyumba? Vichwa vyenu vizima kweli???

• nawauliza nyie ambao mnaacha 20, 000 kwa mwezi tena kwa masimango halafu mnanunulia hawara vitz... madishi yenu yapo sawa kweli?????

• bado naongea na nyie ambao hamtaki wake zenu wafanye kazi... mmewakuta wanasomesha ndugu zao...wakiomba 1000 ya nauli mnawasimanga wakati dada zenu mnasomesha? Roho mbaya gani hizi????

• na tena nyie mnaorudi majumbani kwenu usiku wa manane na kupiga wake zenu na watoto ..pombe unywe wewe kero mkere wengine.....vichwa vyenu vizima kweli????

• na nyie mnaotukana wake zenu na ukoo wenu madishi yenu vichwani yanakama vizuri kweli???

Na nyie wanawake mnaovumilia haya mkqpimwe akili....

Mwanaume atakayepovuka hapa litakuwa limemchoma.
Pore sana kwa yaliyokutokea wape somo wenzio
 
Alafu siku nyengine uache uboya wa kutuongelea wanaume kwa dizaini kama hizo...
Unatuuliza tuna wazimu, wewe umejiona ni mzima??
Na labda niseme tu kwamba siwezi kuona mwanaume anadhalilishwa alafu mimi nikafurahia, My dear sister nitaununua ugomvi kwa gharama yoyote ile...
Acha kuongea kikao bado hakijaisha
 
Alafu siku nyengine uache uboya wa kutuongelea wanaume kwa dizaini kama hizo...
Unatuuliza tuna wazimu, wewe umejiona ni mzima??
Na labda niseme tu kwamba siwezi kuona mwanaume anadhalilishwa alafu mimi nikafurahia, My dear sister nitaununua ugomvi kwa gharama yoyote ile...
Oya kwani we ni kichaa? Ujumbe wa vichaa huu
 
Back
Top Bottom