Kwenu wanaume wa aina hii.... mna wazimu???

Kwenu wanaume wa aina hii.... mna wazimu???

Kuna ukweli mwingi katika maswali ya mleta mada hasa kwa wanaume wenye tabia hizo.

Lakini ukweli Ni kwamba wanawake wa sikuhizi nao wamezidi ubinafsi wa kujifkria wao tuu...

Wao kupenda Na kujali siyo jukumu lao mpaka wapewe kitu ama kutimiziwa mahitaji ndo mwanaume atakuwa Na thamani vinginevyo Ni full kiburi Na lawama!!

Hizo pombe, kutokujali Na tabia nyingine mbaya mnazolalamikia chanzo Ni wanawake kutokujali Na kutimiza majukumu yao kwa wanaume.

Wanaume wengi siyo watu wa kulalamika hadharan.lakini ukiwauliza kiundani wakueleze yanayowasibu utashangaa
Wanawake mnambinu za hivyo sana...mf.unaweka mgomo wa kutoa papuchi unategemea nini kwa mwanaume....!!!?

Binafsi ukiniheshimu,ukanipenda,ukajali utuwangu bila kutegemea nilichonacho,ukanishauri Na kunishirikisha mema.
Ukanivumilia katika shida Na mapungufu Yangu.
Ukawa Na busara na hekima ya kushauri kwa vitendo...

Hakika huna haja ya Limbwata wala semina elekezi,moyo wangu ntakukabidhi Na ATM juu..

Lkn ukjfanya kila siku wewe ndo malkia Elizabeth bila kumheshimu mfalme kiukweli lazima ukasklizie maumivu jamii forum na hakuna atakae kusaidia mpaka ubadilike.
 
Nani kakuita huku babu
Siunajua babu yako mie nazeeka vibaya kwasababu ya mambo ya hovyohovyo......[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Kila mtu na maisha yake usiingilie mkuu
 
Wapi foma yangu nitoe povu la maana manake duh... Uanaume huu jamani kama kungekuwa na namna ya kujiuzulu ningeshafanya hivo kitambo.. manake kina bibie nao mnakuta wote watumishi jadi kusaidiana lakini siku ya mshahara bado utaambiwa tu baby nywele zinahitaji retouch.... jamani uanaume nao kazi ..
Ndio uanaume huo...

Ila kuna kukosa hapo inaeleweka...


Wengine mpunga mrefu wanajua kula bata tu.....hajui hata hela ya saluni ya mkewe ila anapopendeza anasifia....


Hajui hata kula ya mkewe ila anakikuta mezani anagonga kama kawaida
 
Siku zote....

Mwanaume anayekupenda kwa dhati atakuthamini....atakujali...
.....atakuheshimu

Ukiona mwanaume/mume anajwambia acha kazi au biashara kimbia upesi sana

Mwisho wake lazima iwe masimango.... (kulea mtu mzima sio kazi ndogo....)

Ila wanawake sijui mnarogwa na nani... wakati.mwingine unajua kabisa huyu mwanaume mbahili...mbinafsi....malaya.... ana roho mbaya.... hakutunzi.... bado unaingia ndoani...pyeeeee
 
Ukitaka kuepuka stress hizo tafuta hela yako unakula bata kwabtime zako. Aliyekudanganya furaha ya uhakikaninatokabkwa mtu nani??
 
Siku zote penda ukiwa macho wazi..........

Kuna wengine wanashushiwa vipondo wakati wa dating tu

Hizi anategemea nini?


Bado wale wanawake wa vichwa vya panzi ambao hutetea kupigwa kidogo eti kisa una mdomo...fyuuuuuuxxxxx zenu

Mkivyunjwa mikono ndio mnalia....
 
Habari zenu....


Naongea na aina hii ya wanaume leo...

• hivi wewe mwanaume unayempa siri za nyumba yako mchepuko...una kichaa?????

•na wewe ambaye hakuna unachopanga na mkeo bila mama yako kujua na kuidhinisha...ulioa ili iweje wakati unajua hujakua????

• na nyie wanaume mnaokataza wake zenu biashara ndogondogo eti hazina hadhi yenu wakati hata hela ya chumvi hamtoi ...mna kichaa????

• na nyie msiohudumia wake na watoto zenu.....na mna kipato kikubwa...kilochowafanya muoe ni nini??? Halafu hamjiulizi wake na watoto zenu wanakula wanasoma wanalipa kodi za nyumba na mnarudi kulala kwenye hizo nyumba? Vichwa vyenu vizima kweli???

• nawauliza nyie ambao mnaacha 20, 000 kwa mwezi tena kwa masimango halafu mnanunulia hawara vitz... madishi yenu yapo sawa kweli?????

• bado naongea na nyie ambao hamtaki wake zenu wafanye kazi... mmewakuta wanasomesha ndugu zao...wakiomba 1000 ya nauli mnawasimanga wakati dada zenu mnasomesha? Roho mbaya gani hizi????

• na tena nyie mnaorudi majumbani kwenu usiku wa manane na kupiga wake zenu na watoto ..pombe unywe wewe kero mkere wengine.....vichwa vyenu vizima kweli????

• na nyie mnaotukana wake zenu na ukoo wenu madishi yenu vichwani yanakama vizuri kweli???

Na nyie wanawake mnaovumilia haya mkqpimwe akili....


Mwanaume atakayepovuka hapa litakuwa limemchoma.
Pole yako chukua hatua ingawa siamini kama utampata aliemkamilifu.
 
Leo nipo na wewe na wanawake...


Hovi mwanamke unapoolewa na mwanaume chupi mkononi... malaya gillete haioni ndani hachagui shimo...

Mna-date ana wapenzi zaidi ya 10...

Kila leo unafuma msg za mapenzi...kesho unagombana na asha ...keshokutwa igomvi na maria...hujakaa sawa jeni anakutukana..

Anapokuoa unadhani wewe ndio mshindi???? Jua utafumania tu mpaka ma-hg atalamba....

Kwa nini msichujue hatua mapema kabla ya ndoa?

Mnadanganyana wanaume wote ndivyo walivyo..... kwa style hiyo mtalia sana
 
Umenikumbusha kisa kimoja kilitokea saloon mchepuko amekutana na mother house, kwakuwa alishaelezwa mengi kuhusu mother house hakuwa na heshima alimpiga kikumbo mother house akasonya wewe we we mchepuko ukaanza hujui kutandika kitanda mwanamke huna shukrani wewe baba yako kalipiwa bill ya hospitali milioni 5 juzi

Ilibidi mwenye saloon kutumia nguvu na ziada kumkamata mchepukoakisaidiwa na wafanyakazi wengine akawekwa ofisini kwanza mume alipogiwa simu akaja kumchukua mkewe
 
Madada wa JF wanajiona kama viumbe fulani very innocent like hamkutokana na mbegu ya kiume.
 
Kuna ukweli mwingi katika maswali ya mleta mada hasa kwa wanaume wenye tabia hizo.

Lakini ukweli Ni kwamba wanawake wa sikuhizi nao wamezidi ubinafsi wa kujifkria wao tuu...

Wao kupenda Na kujali siyo jukumu lao mpaka wapewe kitu ama kutimiziwa mahitaji ndo mwanaume atakuwa Na thamani vinginevyo Ni full kiburi Na lawama!!

Hizo pombe, kutokujali Na tabia nyingine mbaya mnazolalamikia chanzo Ni wanawake kutokujali Na kutimiza majukumu yao kwa wanaume.

Wanaume wengi siyo watu wa kulalamika hadharan.lakini ukiwauliza kiundani wakueleze yanayowasibu utashangaa
Wanawake mnambinu za hivyo sana...mf.unaweka mgomo wa kutoa papuchi unategemea nini kwa mwanaume....!!!?

Binafsi ukiniheshimu,ukanipenda,ukajali utuwangu bila kutegemea nilichonacho,ukanishauri Na kunishirikisha mema.
Ukanivumilia katika shida Na mapungufu Yangu.
Ukawa Na busara na hekima ya kushauri kwa vitendo...

Hakika huna haja ya Limbwata wala semina elekezi,moyo wangu ntakukabidhi Na ATM juu..

Lkn ukjfanya kila siku wewe ndo malkia Elizabeth bila kumheshimu mfalme kiukweli lazima ukasklizie maumivu jamii forum na hakuna atakae kusaidia mpaka ubadilike.
Ukweli asilimia zote.
 
Back
Top Bottom