Kwenu wanaume wa aina hii.... mna wazimu???

Kwenu wanaume wa aina hii.... mna wazimu???

Wapi foma yangu nitoe povu la maana manake duh... Uanaume huu jamani kama kungekuwa na namna ya kujiuzulu ningeshafanya hivo kitambo.. manake kina bibie nao mnakuta wote watumishi jadi kusaidiana lakini siku ya mshahara bado utaambiwa tu baby nywele zinahitaji retouch.... jamani uanaume nao kazi ..
Umekula maharage ya wap?..
 
Kwa Mara ya kwanza toka kuzaliwa ndio naona povu likitokea papuchini povu jeusiii! maana nimezoea kuona likitokea kwenye domo
 
'"...bado naongea na nyie ambao hamtaki wake zenu wafanye kazi... mmewakuta wanasomesha ndugu zao...wakiomba 1000 ya nauli mnawasimanga wakati dada zenu mnasomesha? Roho mbaya gani hizi????"....

Hii sio tabia nzuri kwa kweli, maisha sasa hivi ni kusaidiana...Muda wa mwanamke kukaa kama Golikipa umepitwa na wakati

Mimkewangu siwezi mruhusu afanye kazi yoyote ningetaka hivyo ningelioa mtumishi full stop [emoji15]
 
Kuna wakati huwa tunawaza kutumia kichwa cha chini si unajua kinanguvu ila hakina akili
 
Kwani aya mambo yapo katika ndoa?
 
Back
Top Bottom