Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,048
- Thread starter
- #41
🤣🤣🤣🤣🤣Muhimu ni mipangilio tu, mtoto anatakiwa abaki kwa ***** huku baba akishirikiana na mama kumlea.
Baba kumtoa mtoto kwa ***** ni kosa kubwa sana; kuzaa tuendelee, kuzaa hakuna shida, muhimu ni kutoa matunzo kwa mtoto akiwa kwa mama yake.
Na wasibaguliwe utoe sawa na wa ndanii
unaeza kuta huyo mama wa kambo hana roho mbayaa