FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Udhaifu mkubwa nimefedheheka na hili Geoffmwanaume ameonyesha udhaifu mkubwa sana!
HIVI WEWE,Udhaifu mkubwa nimefedheheka na hili Geoff
tena na wewe unaenda kuoa wewe kuwa makini sana ! nitawasiliana na ww
.......Mhh inasikitisha kwa kweli, ndugu nao kuingilia ndoa za watu..........hawajui watu wamepanga nini kwenye ndoa zao.Wengine wanatafuta maisha kwanza mtoto baadaye.Miaka 3 mbona michache sana kumsema mdada wa watu?
Rafiki yangu mmoja kanijia jana akiwa mwingi wa mawazo na majonzi tele
Kisa nini..Ni mwaka wa tatu sasa ameolewa hana mtoto ,Mama mkwe kapiga simu saa tano usiku kwa mwanae wakiwa wamelala
anauliza mkeo yuko hapo ? jamaa kasema ndio ..basi akaambiwa weka loud spika ili huyo anayejiita mkeo apate vidonge vyake
Mama mkwe bila haya kaanza kuporomosha mvua ya maneno akilalamika kama hajaolewa kuja kumchuna mtoto wao wamemsomesha ili awatunze wao na sisi yeye mke mgumba ..
Mbaya zaidi anamwambia ..hajaolewa ili awe sanamu ndani ya nyumba ..la sivyo wangenunua sanamu wakaweka ndani wanachotaka amzalie watoto kama hawezi njia iko wazi aondoke ..!
Mke kulalamika kwa mmewe ..
Mme anamjibu hii ni message send ..
Wanaume kwa nn mnaruhusu ndoa iingliwe na ndugu mke anyanyaswe kiivyo ?
kwa nini msitoe suport ili mke awe na uwezo wa kujitetea?
shock!!!!
FL

HIVI WEWE,
mchango wetu vipi?....😀
mara mama nitilie,mara mesenja!...lol!sijui lini utaniambia wewe ni mama salma...!haya bwana😀G mie ndo dadaako kwanini nikuangushe ..leo au kesho natuma mtu akuwezeshe kazi yangu ya umesenja boss atanimwaga nikitoka kwa ofisi ..
Turudi kwenye mada 😉
hapo kwenye red umenifurahisha Twandefiki ..uko sawa kabisa huyu mwanaume ni dhaifuAlafu miaka mitatu tu??? Hao ndugu ni wakorofi by nature!! Mbona bado sana, watu wanapata mtt hata baada ya miaka kumi!! Mwanaume dhaifu na mmbea pia, kwann anaruhusu kuweka loud speaker mama yake atukane?? Walikuwa washaongea mchana hao na uyo mwanaume keshaanza plan zake mana subira hapo haipo tena!!
Rafiki yangu mmoja kanijia jana akiwa mwingi wa mawazo na majonzi tele
Kisa nini..Ni mwaka wa tatu sasa ameolewa hana mtoto ,Mama mkwe kapiga simu saa tano usiku kwa mwanae wakiwa wamelala
anauliza mkeo yuko hapo ? jamaa kasema ndio ..basi akaambiwa weka loud spika ili huyo anayejiita mkeo apate vidonge vyake
Mama mkwe bila haya kaanza kuporomosha mvua ya maneno akilalamika kama hajaolewa kuja kumchuna mtoto wao wamemsomesha ili awatunze wao na sisi yeye mke mgumba ..
Mbaya zaidi anamwambia ..hajaolewa ili awe sanamu ndani ya nyumba ..la sivyo wangenunua sanamu wakaweka ndani wanachotaka amzalie watoto kama hawezi njia iko wazi aondoke ..!
Mke kulalamika kwa mmewe ..
Mme anamjibu hii ni message send ..
Wanaume kwa nn mnaruhusu ndoa iingliwe na ndugu mke anyanyaswe kiivyo ?
kwa nini msitoe suport ili mke awe na uwezo wa kujitetea?
shock!!!!
FL
Huwenda mwanaume ndo kasuka hou mpango mzima haiwezekani umjibu mwenzio meseji sent- manyanyaso mengine? FL1 Huyo rafiki yako wameshakwenda kucheck hospital yeye na mumewe kama hawana tatizo lolote?
Sina kawaida ya kuchangia mada asubuhi asubuhi jinsi hii ila hii mada imenigusa pahala pabaya.Kwanza nimpe pole huyo shoga yako, pia nimtie moyo kuwa ndoa ni safari isiyopimika!Lakini kubwa kwa hayo mawili ni jamaa yangu ,kaka yangu huyu,Ajue kuitwa mwanaume ni nini hasa, siyo kuvaa suruali na kutoka asubuhi kwenda barabarani kutafuta maisha!Ni zaidi ya hapo!!!Unapomwacha mama yako mzazi asimamie nyumba yako kwa maana ya ndoa ni kwamba siku atakuwa hayupo na ndoa yako haitakuwepo tena.Lakini ustaarabu vile vile unadai heshima hata kama asingekuwa mkeo wa ndoa ni rafiki au hata ndugu kumwekea loud speaker mama yako na kisha akaporomosha matusi na wewe kuitikia msg sent! Inaeleweka upstairs yako haijakamilika hata sekunde moja.Wewe ni kiongozi gani wa nyumba inayoongozwa kwa simu kutoka kwa mama yako?Ulipokutana na huyo mkeo ulimshirikisha mama yako ?Si ulimpenda mwenyewe ?Sasa iweje kupokea ushauri na madhalalisho ya mkeo kutoka kwa mamako nawe kuafiki na kumrushia madongo mkeo?ACHA HIZO.Mshauri huyo shoga yako awe mvumilivu na ampe darasa mumeye huyo.
hapo kwenye red umenifurahisha Twandefiki ..uko sawa kabisa huyu mwanaume ni dhaifu
Mie pia nimemuuliza swali kama lako yeye kasema alishapima DR akamwambia hana tatizo ila huyu mmewe ndo kila akimwambia akapime hatoi majibu sahihi ..na kudai tayari alishazaa mtoto mwingine nje kabla hajaoa