Ndoto ya Simba ni kua na makombe mengi kama Yanga lakini haitawezekana Hadi siku Yesu atakaporudi.... [emoji23]Unapoizungumzia Simba ni sawa umeizungumzia Wydad, Al Ahly au Mamelod
Kila timu ndogo duniani ina ndoto ya kuifunga timu kubwa. Kama sijakosea kwenye kombe la dunia lililopita kuna timu iliifunga Argentina kule kwao kulikuwa ni siku ya mapumziko kwasababu wameifunga timu kubwa.
Yanga wamefunga timu ngapi 5? Ila ushindi wa timu kubwa wanafanyia sherehe.
Ni sawa na Ndada aifunge Simba 5 lazima wafanye sherehe.
Yanga ni timu ndogo sana kwa Simba.
Msimu uliopita Yanga ilifungwa 2 bila, ulisikia Simba wameweka mabango? Hawajaweka kwasababu Yanga kwa Simba, Yanga ni timu ndogo sana ndiyo maana ndoto ya Yanga ni kuifunga Simba.
Mshabiki wa Yanga popote pale ulipo piga picha na video unitumie nikuone[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hakika unastahiri huko. Pole sanaUvunguni...
Hii inaonesha ukubwa wa Simba,sio kwa sherehe hizi.
SahihHii inaonesha ukubwa wa Simba,sio kwa sherehe hizi.
Ni kama mmepata Uhuru kutoka kongwa la utumwa
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Rafiki yangu naomba link ya hilo groupWanahangaika wenyewe...wana Simba hawana habari kwa sasa wanaona ni kama wehu tuu..malimbukeni..tuko busy na Wasap group kule...wana Simba wanavimba wameamini madogo yalikua yanaota kwa muda mrf kuifunga...
Hivi nina link kweli...ila ingia watsup...kule kwny status..chini utaona kitu kimeandikwa Channels..utaona kuna clubs mbalimbali za mpira ,kuna watu wakubwa wakubwa huko...pia utaiona Simba SC..utaclick Simba then page itafunguka utakutana na news za Simba hapo then utaona kitufe cha Follow uta Follow so news zoooote zitakua kiganjani mwako...Rafiki yangu naomba link ya hilo group
[emoji23][emoji23][emoji23]watu wakubwa na [emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772] FC akiwemoHivi nina link kweli...ila ingia watsup...kule kwny status..chini utaona kitu kimeandikwa Channels..utaona kuna clubs mbalimbali za mpira ,kuna watu wakubwa wakubwa huko...pia utaiona Simba SC..utaclick Simba then page itafunguka utakutana na news za Simba hapo then utaona kitufe cha Follow uta Follow so news zoooote zitakua kiganjani mwako...
Wapi hapa ?Mpaka mseme
View attachment 2814356
Una akili sana mkuuHiki ndicho walichokua wanakitaka Yanga. Kuzungumziwa kwenye mitandao. Nadhani itaongeza vitu vingi sana ikiwa ni pamoja na kufuatiliwa mitandaoni.
Safi sana kamati ya ufundi. Njooni na mbinu nyingine