Kwenu: Ummy, Taskforces, mabibi na mabwana katika mapambano ya dhati dhidi ya Corona

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,062
Hayupo asiyeweza kuona faraja kiasi gani imepatikana hatimaye kwa wananchi baada ya anga la Tanzania kufungwa. Wananchi tuliihitaji sana hatua hii mapema kabisa kabla ya ugonjwa kuingia, lakini haikupatikana.

Ugonjwa ukaingia na hata kuanza kusambaa ndani ya nchi ndipo kwa kuchelewa mno anga likafungwa. Si mbaya kwani wanasema 'kawia ufike'.

Kufunga anga itasaidia japo angalau tuweke mawazo yetu sasa kwenye kusambaa zaidi kwa ugonjwa ndani ya nchi (huku tukikumbuka pia mipaka ya ardhini pekee ndiyo ingali wazi).

Sisi ni watu wa namna gani kuachilia mipaka wazi na kutegemea tu kuwa kwa vile wanaotuzunguka wamefunga yao, basi ndiyo inatosha?

Tunayo mikakati gani ya kuuzuia ugonjwa huu kusambaa ndani ya nchi ikizingatiwa virusi hawa kwa mujibu wa taarifa mpya toka WHO wanaweza kuwa hewani hai kwa masaa hata 8?

Taarifa hii mpya inaongeza changamoto nyingine juu ya ile kunawa nawa.

Je tuna mikakati gani ya kutumia kuvunja minyororo ya maambukizi ya ugonjwa huu ikizingatiwa hatari ya kusambaa kwake zaidi iko katika kasi ya maambukizi yake?

Kufunga mipaka yetu hakutatufanya kuwekeza jitihada zetu zote ndani kujiangalia sisi na virusi wetu tulionao tayari bila ya kuhangaika mno wowote wengine tokea nje?

Kuyaangazia haya kwa dhati kunaweza kusaidia kutuokoa na janga hili linalotunyemelea kimya kimya na ambalo liko dhahiri mno mbele yetu.

Ikumbukwe kuwa janga hili ni letu kama walivyothibitisha kuwa nalo katika kila nchi. Kila nchi inajiangalia kivyake.

Ni sisi wenyewe vinginevyo twafa.
 
Ikumbukwe kuwa janga hili ni letu kama walivyothibitisha nalo kila nchi. Kila nchi inajiangalia kivyake.
Kuna basic minimum miongozo ambayo ni universal. Hapa tulizikataa! Mfano, kuna standard medicine ya gonorrhea , ukizikataa dawa hizo ukatumia miti shamba, ni kubahatisha, you are likely to fail wakati wadudu wakiwa wameshasamba kwenye damu na kuleta scepticemia... utakufa tu na scepticemia. haitakuchelewesha!
 
1+1 = 2 haijali wajinga wangapi wanasema 1+1 = 4.

Baada ya muda tutakataa kuburuzwa. Hatuwezi kuwaacha kwenda kututumbukiza mtoni tukiwaangalia tu kama mazuzu.

Ni vizuri wakafahamu hatukwenda shule kutembea.
 
Nimekuelewa

Inasikitisha kuwa waliotufikisha hapa ndiyo hao hao waliokuwa wakishauriwa jinsi ya kuuzuia ugonjwa na hawakufanya lolote la maana na ugonjwa ukaingia.

Ugonjwa ulipoingia wakashauriwa tena ili usisambae. Sasa unasambaa na hakuna la mno wanafanya.

Haiwezi kuendelea hivi. Kunawa nawa hakika kina Boris , Queen Elizabeth, Prince Charles, King Mswati nk hawakushindwa kufanya.

Hapa tulipo zinatakiwa hatua kali kabisa kuendekeza njaa na uchumi kutatuletea misiba tukiangalia kana manyani.

Ukishikwa shikamana tusiposhikamana tutatoweka tukijiona. Ecuador ilikuwa hivi hivi angalia leo baada ya kuwa wamepuuza:

Polisi Ecuador wakusanya mitaani maiti 800 za waliofariki kwa
 
Hatari hii ngoja Jiwe atoke chato
 
Hatari hii ngoja Jiwe atoke chato

Angekuja na la maana, kwa kuwa kunako fukuta moto, hii ni hatari mno:

2367592_IMG_20200413_163522.jpg

IMG-20200414-WA0001.jpg
 
Hayupo asiyeweza kuona faraja kiasi gani imepatikana hatimaye kwa wananchi baada ya anga la Tanzania kufungwa. Wananchi tuliihitaji sana hatua hii mapema kabisa kabla ya ugonjwa kuingia, lakini haikupatikana.

Ugonjwa ukaingia na hata kuanza kusambaa ndani ya nchi ndipo kwa kuchelewa mno anga likafungwa. Si mbaya kwani wanasema 'kawia ufike'.

Kufunga anga itasaidia japo angalau tuweke mawazo yetu sasa kwenye kusambaa zaidi kwa ugonjwa ndani ya nchi (huku tukikumbuka pia mipaka ya ardhini pekee ndiyo ingali wazi).

Sisi ni watu wa namna gani kuachilia mipaka wazi na kutegemea tu kuwa kwa vile wanaotuzunguka wamefunga yao, basi ndiyo inatosha?

Tunayo mikakati gani ya kuuzuia ugonjwa huu kusambaa ndani ya nchi ikizingatiwa virusi hawa kwa mujibu wa taarifa mpya toka WHO wanaweza kuwa hewani hai kwa masaa hata 8?

Taarifa hii mpya inaongeza changamoto nyingine juu ya ile kunawa nawa.

Je tuna mikakati gani ya kutumia kuvunja minyororo ya maambukizi ya ugonjwa huu ikizingatiwa hatari ya kusambaa kwake zaidi iko katika kasi ya maambukizi yake?

Kufunga mipaka yetu hakutatufanya kuwekeza jitihada zetu zote ndani kujiangalia sisi na virusi wetu tulionao tayari bila ya kuhangaika mno wowote wengine tokea nje?

Kuyaangazia haya kwa dhati kunaweza kusaidia kutuokoa na janga hili linalotunyemelea kimya kimya na ambalo liko dhahiri mno mbele yetu.

Ikumbukwe kuwa janga hili ni letu kama walivyothibitisha kuwa nalo katika kila nchi. Kila nchi inajiangalia kivyake.

Ni sisi wenyewe vinginevyo twafa.
Tunachelewa sana kuchukua hatua hata sasa tulipaswa tuwe tumefunga Dar hakuna kuingia wala kutoka jijini lakini bado tunasubiri mambo yaharibike kwanza.
 
Mkuu nakubaliana nawe. Kwamba Dar yenye maambukizi inaendelea kutoa mabasi kila uchao kwenda mikoani.

Hawa viongozi wetu wanamtumikia nani?

Vyama vya upinzani nao wako wapi?

Bunge nalo linaendelea na posho zinalipwa daily?

It can't be! Katu haiwezekani!

Hii itakuwa si ndoto labda kama ni jinamizi.
 
Ni ajabu kabisa kushindwa kuchukua hatua ya jambo linalojulikana wazi wazi linatupeleka wapi.
 
Hayupo asiyeweza kuona faraja kiasi gani imepatikana hatimaye kwa wananchi baada ya anga la Tanzania kufungwa. Wananchi tuliihitaji sana hatua hii mapema kabisa kabla ya ugonjwa kuingia, lakini haikupatikana.

Ugonjwa ukaingia na hata kuanza kusambaa ndani ya nchi ndipo kwa kuchelewa mno anga likafungwa. Si mbaya kwani wanasema 'kawia ufike'.

Kufunga anga itasaidia japo angalau tuweke mawazo yetu sasa kwenye kusambaa zaidi kwa ugonjwa ndani ya nchi (huku tukikumbuka pia mipaka ya ardhini pekee ndiyo ingali wazi).

Sisi ni watu wa namna gani kuachilia mipaka wazi na kutegemea tu kuwa kwa vile wanaotuzunguka wamefunga yao, basi ndiyo inatosha?

Tunayo mikakati gani ya kuuzuia ugonjwa huu kusambaa ndani ya nchi ikizingatiwa virusi hawa kwa mujibu wa taarifa mpya toka WHO wanaweza kuwa hewani hai kwa masaa hata 8?

Taarifa hii mpya inaongeza changamoto nyingine juu ya ile kunawa nawa.

Je tuna mikakati gani ya kutumia kuvunja minyororo ya maambukizi ya ugonjwa huu ikizingatiwa hatari ya kusambaa kwake zaidi iko katika kasi ya maambukizi yake?

Kufunga mipaka yetu hakutatufanya kuwekeza jitihada zetu zote ndani kujiangalia sisi na virusi wetu tulionao tayari bila ya kuhangaika mno wowote wengine tokea nje?

Kuyaangazia haya kwa dhati kunaweza kusaidia kutuokoa na janga hili linalotunyemelea kimya kimya na ambalo liko dhahiri mno mbele yetu.

Ikumbukwe kuwa janga hili ni letu kama walivyothibitisha kuwa nalo katika kila nchi. Kila nchi inajiangalia kivyake.
MOH na nchi kiujumla tumekuwa react
Ni sisi wenyewe vinginevyo twafa.
MoH na serikali wamekuwa reactive na sio proactive na ndio mana hatukuzuia ndege za kimataifa! Zimejizuia zenyew kwa kua almost dunia nzima commercial flights zimezuiwa..tungetoa wp za kutua hapa hata tungeacha (eti)kufunga anga.. Nchi zilizofanikiwa kwa kiasi km Rwanda waliwekeza kwenye upimaji was sampuli za watu wengi na matokeo take waliweza kuibua wenye maambukizi na kuanza management mapema ht namba ya wanaopona unaona inaongezeka..MoH wanasubiri kuvizia wasafiri na watu waliioanza kupata athari ndio wawaisolate...mpk kuziona dalili wameshawaambukiza wangapi kwenye jamii.. Decentralization ya upimaji japo kny hospitality za kanda ungesaidia kwa kweli
 
Hayupo asiyeweza kuona faraja kiasi gani imepatikana hatimaye kwa wananchi baada ya anga la Tanzania kufungwa. Wananchi tuliihitaji sana hatua hii mapema kabisa kabla ya ugonjwa kuingia, lakini haikupatikana.

Ugonjwa ukaingia na hata kuanza kusambaa ndani ya nchi ndipo kwa kuchelewa mno anga likafungwa. Si mbaya kwani wanasema 'kawia ufike'.

Kufunga anga itasaidia japo angalau tuweke mawazo yetu sasa kwenye kusambaa zaidi kwa ugonjwa ndani ya nchi (huku tukikumbuka pia mipaka ya ardhini pekee ndiyo ingali wazi).

Sisi ni watu wa namna gani kuachilia mipaka wazi na kutegemea tu kuwa kwa vile wanaotuzunguka wamefunga yao, basi ndiyo inatosha?

Tunayo mikakati gani ya kuuzuia ugonjwa huu kusambaa ndani ya nchi ikizingatiwa virusi hawa kwa mujibu wa taarifa mpya toka WHO wanaweza kuwa hewani hai kwa masaa hata 8?

Taarifa hii mpya inaongeza changamoto nyingine juu ya ile kunawa nawa.

Je tuna mikakati gani ya kutumia kuvunja minyororo ya maambukizi ya ugonjwa huu ikizingatiwa hatari ya kusambaa kwake zaidi iko katika kasi ya maambukizi yake?

Kufunga mipaka yetu hakutatufanya kuwekeza jitihada zetu zote ndani kujiangalia sisi na virusi wetu tulionao tayari bila ya kuhangaika mno wowote wengine tokea nje?

Kuyaangazia haya kwa dhati kunaweza kusaidia kutuokoa na janga hili linalotunyemelea kimya kimya na ambalo liko dhahiri mno mbele yetu.

Ikumbukwe kuwa janga hili ni letu kama walivyothibitisha kuwa nalo katika kila nchi. Kila nchi inajiangalia kivyake.

Ni sisi wenyewe vinginevyo twafa.
Busara ni kuuweka mkoa wa Dar chini ya karantini....... asiingie mtu wala kutoka mtu kwa angalau mwezi mmoja. Ikibidi JWTZ watumike kwa vita hii.
Wafaransa Watatumia jeshi nadhani pia Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom