Kwenu ni wapi??

Siye wa Kakonko, Itigi, Marangu, Idodi, Bulongwa, Busega, Namtumbo, Namanyere, Igurusi, na kwingineko tunakofanana tunawaona ninyi wa DSM washamba sana wa vitu hivi. Kwetu tunawafuga na tunawala wale halisi ambao wanaweza kukimbiza panzi umbali wa hata kilomita 5, tofauti na wa kwenu wasioweza hata kujitetea hata wakisafirishwa kwenye pick up wapo tuli. Tena huo mfupa ulioachwa mnofu mwingi ni kwa sababu ninyi wa O'bay mnakula wale wa Kichina ambao wamekuzwa kwa madawa, mnaogopa kula hizo dawa!! tehetehetehe!!
 
kula chakula kunategemea una njaa kiasi gani, una uchungu kiasi gan na ela yako
 
Kuku wenyewe wakiwa broiler waliokuzwa kwa wiki nne - kweli wana mfupa wa kubakiza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…