Kwenu ndg zangu waislam

Kwenu ndg zangu waislam

Wanajamvi hamjambo

Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee

Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia

Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,

ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa

Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine

Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya

Siluhusu mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yupi bora, Muislam anaetaka kuoa kihalali kwa kuomba kupunguziwa mahari au nyie mnaowekana vimada mpaka mnazeeka hamjaoana kwa kuogopa mahari tu?

Wewe umeolewa? Mahari yako ilikuwaje?
 
Wanajamvi hamjambo

Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee

Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia

Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,

ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa

Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine

Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya

Siluhusu mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo mada yako ni maksudi ya kuwachokoza waislamu mana unatarajia wakujibu kwa unachoita povu? Jiheshimu.

Nakujibu kama ifuatavyo, katika sheria ya uislamu posa maana yake ni ujumbe kutoka kwa muoaji kuwa anataka kuoa, na posa ni matokeo ya makubaliano kati ya muolewaji na muoaji, yani binti anamruhusu muoaji kupeleka ujumbe nyumbani, ujumbe ukifikishwa binti huwa anaulizwa kama posa ipokelewe au la, KISHERIA hakuna uhusiano kati ya posa na kiwango chochote cha pesa. Wanaohusisha posa na pesa wanakosea.

Baada ya posa/ujumbe kukubaliwa ndoa hupangwa na kisha muoaji na muolewaji hukubaliana kuhusu mahari wao wawili tu, baada ya kuridhiana kiwango cha mahari ndoa inafungwa na katika mahari katika uislamu inafaa na inakuwa bora zaidi kutajwa kiwango kidogo cha mahari kwani katika hadithi sahihi Mtume wetu amesema "wanawake bora na wenye baraka ni wenye mahari madogo" kwa hiyo sheria zinafaa kufuatwa na wewe hakuna unachojua katika sheria za dini ya kiislamu, hatuthaminishi wanawake kwani hatuwanunui na hatuna maana ya kuwanunua wanawake bali kwenda kuishi nao kwa mapenzi na huruma kama ambavyo tumeelekezwa.
 
Kumbee! Basi ahsante kwa ilimu uliyonipa kwani umekua tofauti na hao wengine ambao woa wameishia kutukana.

Inakuaje kwa mtu anayetaka kuowa binti ambaye si muislam, itabidi binti ataje mahari ilihali yeye ni christ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maharari unaweza MPA Mke hata mkeka tu sio lazima mil 10 Na ndoa za kifahari Kwenye maukumbi
Wanajamvi hamjambo

Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee

Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia

Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,

ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa

Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine

Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya

Siluhusu mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakosoa mambo mengi sana kwenye Uislam hasa kunyanysa watu wa imani nyingine, lakini kwa hili ngoja niwatetee
Hiyo kuoa kwa mahari ndogo kwanza halina dini, wapo watu wa imani nyingine wanaoa huku hawana kitu pia, ni malezi tu
Always kumbuka kuna waislam na uislam.

Acha niishie hapa
 
Wewe ulioa wapi na ulitoa bilioni ngapi mahari? Unaleta dharau wakati mwenyewe unapeleka kushona mikojo yako iliochanika kwa fundi ungekua mtu sana tungekusikia kwenye malls unanunua nguo.. wanapenda ngono kumbe watu wanaoana wakafanyaje kama sio hiyo ngono

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ahsante mkuu
 
Inakuaje kwa mtu anayetaka kuowa binti ambaye si muislam, itabidi binti ataje mahari ilihali yeye ni christ

Sent using Jamii Forums mobile app
Waislam hawaruhusiwi kuoa au kuolewa na mtu yeyote ambae sio muislam, kama ni binti au mume wa ki-hindu, au ni myahudi, au ni mkristo atatakiwa kwanza huyo binti au mume abadili dini yake awe muislam ndipo ndoa ifungwe.

NOTE: Waislam wameruhusiwa kuwaoa watu wanaitwa "ahlul kitaab". Ahlul kitaab kwa kiswahili ni watu walioteremshiwa kitaab yaani hawa ni wale wanaotoka kwenye jamii ya watu walioteremshiwa until, zabuur na tauraat. Ninukuu vizuri hapa, sio biblia, ni until, zabuur na tauraat.
 
Wanajamvi hamjambo

Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee

Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia

Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,

ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa

Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine

Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya

Siluhusu mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
mmh ni keli jaman?
 
Waislam hawaruhusiwi kuoa au kuolewa na mtu yeyote ambae sio muislam, kama ni binti au mume wa ki-hindu, au ni myahudi, au ni mkristo atatakiwa kwanza huyo binti au mume abadili dini yake awe muislam ndipo ndoa ifungwe.

NOTE: Waislam wameruhusiwa kuwaoa watu wanaitwa "ahlul kitaab". Ahlul kitaab kwa kiswahili ni watu walioteremshiwa kitaab yaani hawa ni wale wanaotoka kwenye jamii ya watu walioteremshiwa until, zabuur na tauraat. Ninukuu vizuri hapa, sio biblia, ni until, zabuur na tauraat.
Asa kwa mfano imetokea mwanaume wa kiislam akampa mimba binti wa kikrist inakuwa namna gani vpi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom