Kwenu ndg zangu waislam

Kwenu ndg zangu waislam

Ni kweli kabisa mkuu Mara nyingi hzo ndoa za mahari ya kukomoleana hazidumu
Hata mimi nakubaliana na wewe katika hili siku hizi mahari haina maana yoyote. Mahari ilikuwa na maana zamani na hasa mahari ya kweli ilikuwa inatolewa mfano uchaggani na/au uhayani.

Kule ilikuwa inapelekwa zaidi zaidi pombe alafu mkishakubaliwa mnainywa wenyewe kwa pamoja na wenyeji, kisha mnarudishiwa madumu yenu matupu mnaondoka.

Siku hiyo ya mahari ilikuwa kama siku ya wazee wa pande mbili kufahamiana (get together flani). Siku hizi ujanja ujanja umekuwa mwingi nao wanatozana pesa nyingi, utafikiri wanauza binti yao.

Ndiyo maana hata heshima ya ukwe/mkwe imepungua sana kama siyo kuisha kabisa. Zamani mkwe alikuwa mkwe kweli kweli siyo haya ya siku hizi ambapo baba/mama mkwe analewa pamoja mke/mme wa mtoto wake kisha wakishalewa wanakokotana kwenda nyumbani. Hakuna heshima kabisaa.

Sasa mtu unamtoza mamillioni ya pesa eti mahari, mwisho wa siku anaichukulia kama biashara nyingine kama vile kanunua gari showroom ataanzia wapi kukuheshimu kama mkwe??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishashatambua thamani ya mwanamke hautafikira hayo uliyoyaandika

Kama hela ipo owa kama huna endelea kusugua banch la ubachela na siyo kulialia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hata unachoandika ukielewi na pia wewe ndiyo ujui dhamani maana yake nini. Hivi kwa akili yako ndogo unadhani mahari hata kama utatoa Billions ndiyo sawa na dhamani ya mwanamke?

Nani kakwambia MTU huwa anadhamanishwa? Kama MTU anadhamanishwa wewe ni wa shillings ngapi nije nikununue sasa hivi, usiofu nitakupa kazi nyingine tofauti na ya mwanamke, lengo tu ni kukununua na kukumiliki kwa kukudhamanisha kama unavyo wadhamanisha wenzio.

Hacha ulimbukeni wa kijinga wa kufikiri kila kitu ni pesa. Mwanamke siyo bidhaa kama gari, nyumba, ndege, nk hadi useme unamdhamanisha kwa kutoa mahari kubwa. Una mawazo ya kimasikini sana ya kudhani utakuja kutajirika kwa kupitia mahari, tumia akili na nguvu utafute pesa mapema usisubiri mahari.

Mabinti na vijana wengi siku hizi baada ya kugundua kuna watu wajinga kama wewe wanachukuana bure. Wakisha peana mimba, wanachukuana mazima na kuanza maisha ya familia bila hiyo senti moja ya mahari. Sasa wewe unayesubiri kutajirika kupitia mahari utakufa kwa msongo wa mawazo na pressure. Hacha upimbi wewe boya mpenda kuelea elea.
 
Sisi wamachinga Kila kitu ni Kubagain kuanzia mahari,sadaka tukitoa 2000 chenji 1500, hata supermarkets tukiingia hamna punguzo?
 
Wanajamvi hamjambo

Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee

Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia

Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,

ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa

Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine

Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya

Siluhusu mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani taratibu za mahali kwa mujibu wa imani ya ki islam zinasemaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini wazungu ni wakristo na hawatoi mahali?
 
Moe nimesoma maoni tu,ila kwa mujibu wa taratibu za kiislamu,mahari anataja mwanamke,na vilevile ukisoma Surat Al nisaa kwenye msahafu kwa waislamu Mambo ya mahari na ndoa yameelezewa vizuri.
Kwa kuongeza tu Nabii MUHAMAD S.A.W alisisitiza mahari yafaa isiwe kubwa Sana I'll kumpa unafuu muoaji ,maana ikiwa kubwa muoaji anaweza kushindwa mwishowe wakafanya zinaa kitu ambacho hakitakiwi kwenye uislamu.
Ukizingatia tumeambiwa tusiikaribie zinaa waislamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajamvi hamjambo

Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee

Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia

Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,

ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa

Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine

Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya

Siluhusu mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la mahari ni la muolewaji ndiye mwenye kutaja kima cha mahari, akitaka shilingi hamisini au akitaka milioni ni shauri yake na kama muoaji hana uwezo wa kutoa mahari yote basi anaweza akatoa hiyo mahari kwa awamu inategemea jinsi utakavyoelewana na familiya ya mwenye kuolewa.
Ndugu Imani Hakuna, mimi ninakwambia imani ipo na kuhakikisha kama imani ipo tafuta namba ya huyo fundi na tujiridhishe kuwa kweli anataka kuoa basi tupo tayari kumtolea hiyo mahari ya laki mbili bila kujali imani ya dini yake.
 
It's Scars
We unaona kama hiyo laki2 ndogo ili binti aolewe wakati wenzake huko india wanatoa posa ili waolewe

Kama analengo lakuolewa pesa mali si kikwazo, hua nawakubali waislamu kwenye swala la mali maana wamelirahisisha sana.

Ukienda kwa familia wanazosali binti anaweza kukwambia ulete kuran tu ndiyo isimame kama mali

Lakini huku kwa wakristo utapewa karatasi hata tatu zilizoorodhesha mahitaji ya kutoa kabla ya mali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakosoa mambo mengi sana kwenye Uislam hasa kunyanysa watu wa imani nyingine, lakini kwa hili ngoja niwatetee
Hiyo kuoa kwa mahari ndogo kwanza halina dini, wapo watu wa imani nyingine wanaoa huku hawana kitu pia, ni malezi tu
 
Back
Top Bottom