Kwenu ndg zangu waislam

Kwenu ndg zangu waislam

Mahari katika uislamu ni zawadi ambayo huitoa mwanamme kumpa mwanamke kabla ya ndoa kwa kadri walivyokubaliana. Hakuna kima cha chini wala cha juu kilichochowekwa katika utoaji wa mahari na pia si lazima iwe ni pesa inaweza kuwa zawadi yoyote ya halali. Kiufupi mahari katika uislamu yanayofautiana kutokana na sehemu na mila zao lakini msingi mkuu ni mmoja ambao ni zawadi tu. Sehemu kama Zanzibar wanawake huolewa kwa milioni moja hadi tano (hili ni la uhakika kabisa) kwa pesa taslimu au thamani ya pesa mara nyingi inakuwa ni furnitures au seti ya dhahabu.
Hapo mwisho umeniacha mkuu,unamaanisha bk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo thamani ya mwanamke inaoneshwa/inapimwa kwa mahari kubwa?

Huyo jamaa akili Hana.
Watu wangapi tunawaona wanaoa kwa nahari kubwa na sherehe ya harusi ya mamilioni lakini baada ya mwaka tu ndoa inavurugika kila mtu kivyake.
Kutoa pesa nyingi si kipimo Cha upendo.
Yaani mtoa mada Kama ni mwanamke basi wanaokuja kwa swaga za hela itakuwa wanajizolea mzigo watakavyo kisa Wana muonekano wa pesa.
Mtoa mada anaonekana Bado mtoto anayeishi kwa shemeji yake.

Cjazungumzia mtu atoe mamulioni mkuu anapotaka kuowa, nimesema kiasi atakacho taja mwanamwali basi kitoe sivyema kulia lia na kuonyesha udhahifu huo itamfanya hata muhusika kutokukuamini na hata kuona huwezi kumuhudumia, nadhani nilimaanisha hivyo.

Ila ukiona bado hujajipanga wapishe wengine huku ukiendelea kujipanga, samahani mkuu kama nimekukwaza kwa mada yangu.

No sio kweli.
Kwa sababu Mungu aliumba watu kwa viwango mbalimbali.
Yaani mwanaume maskini atampata maskini mwenzake,tajiri atampata tajiri mwenzake ili mradi tu kuwe na pairs.
Kwa hiyo ulitaka useme Kama mtu ni maskini ndio asioe maisha yake yote?
Ingekuwa watu wote Wana akili na mawazo Kama yako badi wakina Bakhresa na Mo dewji wangezuia wanawake wote na kuwaoa na watu wengine wasingeambulia kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cjazungumzia mtu atoe mamulioni mkuu anapotaka kuowa, nimesema kiasi atakacho taja mwanamwali basi kitoe sivyema kulia lia na kuonyesha udhahifu huo itamfanya hata muhusika kutokukuamini na hata kuona huwezi kumuhudumia, nadhani nilimaanisha hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mahali inaruhusiwa kulipa kwa awamu na kuweka deni.
Yaani unalipia nusu halafu nyingine unakuja kulipia mbele ya safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya mahali kubwa, yamefanya baadhi ya jamii, kuhesabu mke kama amemnunua, hata amtese kiasi gani, wazee wake hawamsikilizi.

Wakiogopa kurudisha mali wazopewa, kama mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wanaotoa milioni + wanaoa ambao hawajazibuliwa.Ni ukweli mchungu lkn mnivumilie, jamani wakaka Kama mmeamua kuoa oeni tuuuuu.Lkn Mambo ya vizibo sijui nn achaneni nao.Unakuta mkaka anaingia ukumbini anacheza huyoooo bidada kavaa shela utasema malaika.Ukumbini kaalika wanaume Kati yao wasiopungua wat 5 washamla.Wengine wiki hiyo hiyo ya ndoa.Muda wa zawadi wanakuja kukushika mkono wa kejeli,bwana harusi unakenuuuuuua utasema umeahidiwa mbingu.
 
Mbona umeenda mbali sana ndg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya mahali kubwa, yamefanya baadhi ya jamii, kuhesabu mke kama amemnunua, hata amtese kiasi gani, wazee wake hawamsikilizi.

Wakiogopa kurudisha mali wazopewa, kama mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikutana na nakoo ambayo haijastaarabika haya ndiyo matokeo, ila kama mkwanja upo ndg yangu Nahonyo toa ili kupoza machungu ya wakwe zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom