Kwenu ndg zangu waislam

Kwenu ndg zangu waislam

Wanajamvi hamjambo

Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee

Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia

Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,

ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa

Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine

Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya

Siluhusu mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa wa maana kama ungeanza kuongea na huyo fundi nguo sio kuja hapa
 
UKAJUA TU HUYU NI MUISLAMU SI VINGINEVYO..............? kuna MUISLAMU NA UISLAMU. dini inatuambia walipeni wanawake mahali yao. sasa WEKA CHUKI pembeni dhidi ya UISLAMU.
MUHUKUMU HUYO KAMA BINAADAMU MAANA HAKUNA MKAMILIFU HATA WEWE PIA HUJAKAMILIKA.
 
Sawa mkuu, huu uzi nahisi umenielemea na ndiyo ilivo kwa msema kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom