Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,211
- 6,384
Duuuh! Mkuu tibishane Kwa hoja na siyo kutukanana, nikweli huenda sikufikii hata Kwa elimu uliyokuwa nayo ila kupitia hii comment imeonyesha dhahiri huna hata chembe ya wisdom ila yote na yote punguzen kulia lia binti akitaja 100000 toa nasiyo kuomba upunguziwe, ikiwa huwezi kutoa hicho kiasi mtaweza kweli kulishana au mtashindia ngono.Wewe hata unachoandika ukielewi na pia wewe ndiyo ujui dhamani maana yake nini. Hivi kwa akili yako ndogo unadhani mahari hata kama utatoa Billions ndiyo sawa na dhamani ya mwanamke?
Nani kakwambia MTU huwa anadhamanishwa? Kama MTU anadhamanishwa wewe ni wa shillings ngapi nije nikununue sasa hivi, usiofu nitakupa kazi nyingine tofauti na ya mwanamke, lengo tu ni kukununua na kukumiliki kwa kukudhamanisha kama unavyo wadhamanisha wenzio.
Hacha ulimbukeni wa kijinga wa kufikiri kila kitu ni pesa. Mwanamke siyo bidhaa kama gari, nyumba, ndege, nk hadi useme unamdhamanisha kwa kutoa mahari kubwa. Una mawazo ya kimasikini sana ya kudhani utakuja kutajirika kwa kupitia mahari, tumia akili na nguvu utafute pesa mapema usisubiri mahari.
Mabinti na vijana wengi siku hizi baada ya kugundua kuna watu wajinga kama wewe wanachukuana bure. Wakisha peana mimba, wanachukuana mazima na kuanza maisha ya familia bila hiyo senti moja ya mahari. Sasa wewe unayesubiri kutajirika kupitia mahari utakufa kwa msongo wa mawazo na pressure. Hacha upimbi wewe boya mpenda kuelea elea.
Mkuu umeprove wapi hili?Hivi kwanini wazungu ni wakristo na hawatoi mahali?
Embu lete hizo different mkuuTofautisha kati ya tamaduni za kiarabu na uislam
Hapana mkuu sipo hivyo unavyofikiriaHachana naye huyu jamaa ajitambui. Ndiyo wale wanawatorosha mabinti wadogo shule ili wakawaozeshe wapate hela ya kula siku moja!
C ndiyo maana wazungu waliwekq alama ya kufuta walijua kuna kukosea katka kuandika
Asa akitaja toa siyo vema kulia lia acheni kitongaSasa kama unalijua hilo, kwanini unakuja pupa kufungua Uzi wa kinafki kutaka kuonyesha dini ya wenzako si kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajamvi hamjambo
Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee
Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia
Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,
ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa
Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine
Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya
Siluhusu mapovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndg umesomekaWewe ulioa wapi na ulitoa bilioni ngapi mahari? Unaleta dharau wakati mwenyewe unapeleka kushona mikojo yako iliochanika kwa fundi ungekua mtu sana tungekusikia kwenye malls unanunua nguo.. wanapenda ngono kumbe watu wanaoana wakafanyaje kama sio hiyo ngono
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mali?We unaona kama hiyo laki2 ndogo ili binti aolewe wakati wenzake huko india wanatoa posa ili waolewe
Kama analengo lakuolewa pesa mali si kikwazo, hua nawakubali waislamu kwenye swala la mali maana wamelirahisisha sana.
Ukienda kwa familia wanazosali binti anaweza kukwambia ulete kuran tu ndiyo isimame kama mali
Lakini huku kwa wakristo utapewa karatasi hata tatu zilizoorodhesha mahitaji ya kutoa kabla ya mali
We ni kunguni kweli, Wakristo suala la kutoa mahari tulianza kujifunza kwa Ibrahim, Isaka na MusaKwanza lazima ujue ustaarabu wa kuoa na kutoa mahari umekuja na waislam. Niambie yesu kristo unayemfuata wewe wapi kaoa na wapi katoa mahari. Au kama wewe unaamini kuna kuoa na kutoa mahari niambie unamfuata nani katika imani yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakulazimisha?Hawa ndo wanaosumbua wenzao na kadi za michango ya harusi.kama una ubavu gharamia mwenyewe harusi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unalosema ni kweli ila ukipenda kitu lazima ukighalamikie kama hautaki unakosa nikama mnada anayetaja dau la juu ndiye uchukua wala haulazimishwi.Kwanza sioni umuhimu wa mahari hawa wazee wanatuibia
Kama walipata tabu kukuza binti hata wanaume wazazi wao walipata tabu kuwakuza nao wanaitaji pongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
nakumbuka kuna wanandoa kule kenya walijiua sikumbuki kisa ni nini.... wakristo hua mnapenda kick za kijinga mwisho mnaishia kujiua.Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine
Wewe unashida mahali.Wanajamvi hamjambo