Kwenu Moderators wa JF, mkitupiga ban muwe natuambia makosa yetu.

Honest One

JF-Expert Member
May 12, 2017
235
274
Hapa nimepigwa ban lakini sijui kosa langu ni lipi. Alafu nimeshaona siku hizi hamtaki post zinazokosoa serikali. Uzi wangu wa mwisho niliouweka humu ni kuhusu walimu ambao hawakuchangia mwenge kuitwa na mkuu wa wilaya kutoa maelezo kitu ambacho ni kweli.
 
Back
Top Bottom