Mjane wa Marehemu unateseka mwenyewe, umekosa msaada sasa unatangatanga tuNi dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha.
Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu.
Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko wapi sasa? Mliruhusu mpaka vitabu vya kumchafua vichapishwe lakini bado watu wanafurika Chato kila mwaka kumlilia.
Humphrey Polepole ametekwa lakini bado video zake zina trend you tube na zitaendelea hadi vizazi na vizazi.
CCM mtandao mjue yajayo yanafurahisha.
Huyo kabaki kuwa mjane tu sasaDunia inakimbia kwa kasi sana. Etwege leo na yeye ni mpinzani kama ilivyo sisi aliyetuita ni wapiga dili na watu wenye vyeti feki wakati tulipomkosoa bosi wake Magu pale alipokandamiza haki za watu wengine.
Baada ya kukosa maslahi sasa akili zimekurudia mwanamtoka pabaya weweNi dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha.
Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu.
Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko wapi sasa? Mliruhusu mpaka vitabu vya kumchafua vichapishwe lakini bado watu wanafurika Chato kila mwaka kumlilia.
Humphrey Polepole ametekwa lakini bado video zake zina trend you tube na zitaendelea hadi vizazi na vizazi.
CCM mtandao mjue yajayo yanafurahisha.
Ulaniwe na kizazi chakoNaona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu au lilevi la gongo lililoshindikana.
Zuzu Bimsumi asiyejua kuwa nusu ya laki moja ni elfu hamsini na siyo mia tano. Pumbavu kabisa nyie wote.Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu au lilevi la gongo lililoshindikana.
Pole sana mfiwa wa lile shetani lenu la Chato.Pole sana Kigwangala
nonsense,Ni dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha.
Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu.
Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko wapi sasa? Mliruhusu mpaka vitabu vya kumchafua vichapishwe lakini bado watu wanafurika Chato kila mwaka kumlilia.
Humphrey Polepole ametekwa lakini bado video zake zina trend you tube na zitaendelea hadi vizazi na vizazi.
CCM mtandao mjue yajayo yanafurahisha.
Ni dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha.
Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu.
Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko wapi sasa? Mliruhusu mpaka vitabu vya kumchafua vichapishwe lakini bado watu wanafurika Chato kila mwaka kumlilia.
Humphrey Polepole ametekwa lakini bado video zake zina trend you tube na zitaendelea hadi vizazi na vizazi.
CCM mtandao mjue yajayo yanafurahisha.
nonsense,
kumbuka,
maisha hayana extra time gentleman,
ni muhimu sana kuchagua moja,
kua baridi au moto, ukiwa viguvugu utatapikwa tu kindezindezi kama huyo useless slowslow
tuliza kihoro gentleman
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu au lilevi la gongo lililoshindikana.