LadyBinti,
They say love/marriage is the only academy in life where you are issued a certificate halafu ndio unaanza kupata shule yake... Na ukifaulu ndio unakuwa mkamilifu
Maneno ya kweli hayamjadala wenu ni mzuri sana kila kijana anatakiwa awaze na kupata majibu ya hayo maswali kwa maana wapo kweli wanawake wenye mapenzi ya dhati na ya kweli ila wapo wanaopenda kuwafanya wanaume kuwa ndo atm zao