Kwenda kwa Mwenyekiti Baba V...

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,023
Kwenda..:

Muheshimiwa mwenyekiti wa Chit Chat..!

Nakuomba unisamehe, kwa kosa la kutaka kukupindua,
yanayo nikuta ni zaidi ya majanga.

Sitorudia tena mwenyekiti wangu Baba V

hata daddy nae kanipita live pale wapi vilee.... kuna mtu alioteshwa manyoya mwilini.....
 
Last edited by a moderator:

kweli umeonyesha ukomavu! hawa wazee wengine hata wakikwambia ukaimu nafasi yake uangalie mara mbili!
Sasa unamuomba radhi mwenyekiti kavukavu, bila kushika chochote mkononi? jiangalie...? isije ikawa hivi:-

open-the-dog-food.jpg
 
mie hanitishi, naenda kujipanga.......

kweli umeonyesha ukomavu! hawa wazee wengine hata wakikwambia ukaimu nafasi yake uangalie mara mbili!
Sasa unamuomba radhi mwenyekiti kavukavu, bila kushika chochote mkononi? jiangalie...? isije ikawa hivi:-

open-the-dog-food.jpg
 
Unafanza mchezo nini!
Baba V alikua amekuwekea camp Handeni, yaani wiki hii ingepita hujamradhi, ungegeuzwa Mbweha!
 
Last edited by a moderator:
Kwenda..:

Muheshimiwa mwenyekiti wa Chit Chat..!

Nakuomba unisamehe, kwa kosa la kutaka kukupindua,
yanayo nikuta ni zaidi ya majanga.

Sitorudia tena mwenyekiti wangu Baba V

hata daddy nae kanipita live pale wapi vilee.... kuna mtu alioteshwa manyoya mwilini.....

usaliti mbaya sana..atakusamehe tu!
 
Last edited by a moderator:
hongera inaonekana umekatwa na wembe uliokua unaulilia...
Kwenda..:

Muheshimiwa mwenyekiti wa Chit Chat..!

Nakuomba unisamehe, kwa kosa la kutaka kukupindua,
yanayo nikuta ni zaidi ya majanga.

Sitorudia tena mwenyekiti wangu Baba V

hata daddy nae kanipita live pale wapi vilee.... kuna mtu alioteshwa manyoya mwilini.....
 
Kwenda..:

Muheshimiwa mwenyekiti wa Chit Chat..!

Nakuomba unisamehe, kwa kosa la kutaka kukupindua,
yanayo nikuta ni zaidi ya majanga.

Sitorudia tena mwenyekiti wangu Baba V

hata daddy nae kanipita live pale wapi vilee.... kuna mtu alioteshwa manyoya mwilini.....

Mtoto akinyea mkono huwa hatuukati, tunausafisha na maisha yanasonga mbele, you are welcome....!!!!
Copy: Chimbuvu, Kima Mchanga na ummu kulthum (Kwa sababu maalum)
 
Last edited by a moderator:
una bahati sana la sivyo ungekuta naliniuu imepotezwa a.k.a kikojoleo kimesepa
 
Back
Top Bottom