Kwenda chooni na kikopo cha maji kinatosha kujisafisha?

choo cha kulengesha kopo moja latosha, maji yenyewe ya mgamo kwa mwezi yanatoka mara moja!
 
Unajua wazungu wanatushangaa sana watu weusi tunavyotumia maji kuchamba. wanatuona wachafu kishenzi. Wachina ndiyo waliogundua toilet paper, basi kitu ambacho wachina huwadharau wahindi ni kitendo cha wahindi kuchambia mikono.
Wastaarabu huanza na toilet paper huja maji na unamalizia na toilet paper kujikausha
 
Bora maji kidogo maana maji mengi mwisho utaanza kujitekenya uone utamu utaishia kuwa punga tumia tissue/ Toilet news ndio safi hahahahaaaaa ni utani tuuu
Ulishawahi test mkuu umejuaje kutumia maji mwisho wa siku utaishia kujitekenya na kupata utamu?
 
Ndio maana mimi naenda na majani! kama nikikosa Gunzi la mhindi lakini.
Hiyo ndio tamaduni yetu sisi Waafrika maji tuwaachie wahindi kwa sababu wao wanakula sana pili pili hivyo kupata unafuu wa kuwashwa wakati wa kumaliza nya.

Toilet paper tuwaachie wachina kwa sababu wao wanakula vitu laini laini kwa hiyo ata Nnya yao iko soft inafutika kwa harak.

Waafrica yetu migunzi na majani magumu magumu kwa sababu ya aina ya chakula tunachokul hivyo Nnya inayotoka si ya mchezo inahitaji kitu kama msasa kuchambisha vizuri na gunzi ndio First choice.
 
hahahahahaa eti kitu kama "msasa" daah
 
Hivi inakuwaje mtu mzima unaenda chooni haja kubwa na kikopo cha maji lita moja tu badala ya ndoo yenye maji mengi? Tabia hii nimeiona sana mikoa karibia yote ya Pwani ambako wengi wanatumia vyoo vya kulenga, unawezaje kunawa vizuri na tumaji tuchache namna ile na kutoa chembechembe zote za inya na kunawa mikono vizuri?

Tubadilike jamani.

KILA MTU ANAISHI KUTOKANA NA CHANGAMOTO, MATATIZO ALIYONAYO NA RESOURCES, NIMEJIFUNZA KUTOHUKUMU WATU SIMPLY BECAUSE INAWEZEKANI PRIVILEGE MUNGU ALIZONIPA NDO ZINANIFANYA NI WAHUKUMU.........
 
Nasikitika tu kwamba mpaka 2018 bado tunajadili KUCHAMBA.
Wee mtu unaingia chooni, tena cha public kama hotelini au bar, unakuta zana mbili: 1. gudulia kubwa lenye maji 2. Kopo dogo la kuchotea. Unaambiwa hizo ndizo zana pekee kwa ''kazi'' yako uliyofanya. Tutaacha kujadili kweli!
 
Back
Top Bottom