Kwenda benki CRDB ni mateso, nimekoma

Hii kitu ilinikuta NMB msasani na Tegeta yaani wale mbwa wanajivuta mpaka una choka, na hawajali wala nini mtajiju wenyewe kaeni foleni hapo
wana boa sana
halafu nyie mnao sema pesa kutoa kwa sim banking , Nmb mkononi au ATM kuna huduma zingine huwezi kutoa ATM wala sim banking msikariri mambo
 
Nenda mliman City crdb wale ni takataka sana
 
Komesha ya yote ni mliman city na shekilango ni wapuuzi wa kutupa hao CRDB...alafu kuna NBC pale ubungo mama yangu ukienda pale ni mavi ya popo madirisha 6 ila dirisha moja ndo linatoa huduma
 
Pole mkuu, ni tawi lipi na sehemu gani? Sema ni tawi lipi tupeleke ujumbe
 
Nchi ngumu sana😄
 
Huduma za CRDB zimekuwa mbovu hivi!

Tawi la Kijichi utakuta watu wawili tu mbele kwenye foleni lakini utatumia dakika 45 na kwenda mbele.
 
Haya mambo ya foleni kwenye mabenki yamebaki huku Afrika tu, nilivyokuwa majuu ukiingia kwenye branch unakutana na mhudumu mmoja au wawili ambao mostly wanatoa huduma za customer care mfano ku-renew card. Lakini mambo ya deposit, withdrawal, money transfer unafanya kwenye ATM na kwa kutumia internet banking. Na pia nilichogundua wazungu mosty hawatumii cash kufanya manunuzi ya bidhaa na huduma na badala yake wanatumia card ambazo ndo unakuta zimejaza wallet badala ya minoti.​
 
Kwahiyo huyo mkurugenzi kashindwa kusimamia wafanyakazi? Analeta masiara kwenye kampuni, ngoja imfie mikoni mwake maana wateja wakimbia au aangalie isijekuwa benki nyingine wanafanya subotage kwa kuonga wakuu wa matawi wasisimamie subordinate wao ili Bank iyumbe.
 
hata ukikuta madirisha yote yana Tellers 😅 wanafanyakaz slow sana sijui ndio ili wapate overtime ili wateja wasiishe kabla ya saa 10. Tatizo lingine mangers/supervisors wanagegeda sana ma teller wa kike kwahio performance ya kazin lazima iwe ya kisengerema
 
Kuna jamaa yangu kaomba mkopo wa biashara leo ni zaidi ya mwezi wako kimya. Docs zote kapeleka.
 
Jana nilikua CRDB KIBAHA ,Hili Ni tawi la kimkoa, Kuna keshia mmoja tu, keshia wapili yupo Ila anakagua simu yake hapokei Wala kutoa pesa. Keshia wa tatu anahudumia watu wa Mpesa tu.
Banking hall imejaa a/c imezidiwa nobody cares kibaya zaidi hakuna choo within one kilometre. Choo wanacho wao tu. Ilibidinikodi pkpk ili nikakojoe porini kule karibu na TTCL.
KIMEI KAONDOKA NA UBUNIFU CRDB
 
Utadhani hawaendi chooni
 
Hebu tuambie ni tawi lipi na liko mji gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…