Kweli yamenikuta mwenzenu

tatizo tumeumbwa km simba, tunapenda sana kuwinda, ukiona swala au pundamilia amenona anakatiza anga zako lzm utajaribu tu bahati yako na mara nyingi usipokuwa siriaz ndo ndege ananasa. Mwanaume kaumbwa na hulka hiyo! Nimeanza harakati nikiwa std1 nakumbuka nikiandika barua za mapenzi natongoza, wakati ule tunachora na maua na kuiba poda za dada zetu tunanyunyizia kwenye barua inukie. Mimi binafsi nakuomba sana radhi na kukuomba utusamehe tu! Ndivyo tulivyoumbwa.
 
chezea wanaume wa kweli!!! wanamega na kusepa tuu!!!
alafu wewe herufi zote hizo maana umekuwa wamegwa sana nini? acha kutoa papuchi

Halafu sasa herufu 'm' ipo!!
 
kwani ni lazma mkianza mahusiano mtu agande hapo hapo hata kama haridhiki??? hata mdada ukiona namna gani vipi unasepa tu fastaaaaaa.
 
au wewe ni mmojawapo wa wale wanaotukera sana sisi wadada@ITEGAMATWI
 
kweli ww dd ni wa ajabu, kutendwa atendwe mwingine then ww uje na mi-BP yako JF, pilipili ambayo hujaila inakuwashaje ww? otherwise 2weke waz zaidi about the issue na ufafanue uhusiano uliopo kati ya hizo herufi na tabia wanazozifanya.
 
hahahaha huyu kashagegedwa na kubwagwa...sasa poor judgement yake anataka kublame alphabets!!!!

Hahaha ila hayuko mbali sana na ukweli.lol.
Esp where ur name is mentioned...
 
Hapo kwenye red umeniacha kidogo, au ulisahau kuandika? na hapo kwenye blue fafanua kwanza ndo ntachangia au wote wa J, G, I, M, A, na K wameku dadedidodu?
 
Umewachwa na mai boifrendi
ndio unapiga mikelele hivyo ! acha kuwachuna sana wata kakaaa japo
kidogo,shida yenu kila siku mizinga ndio maana wanasepa.

Umewachwa na mai boifrendi
ndio unapiga mikelele hivyo ! acha kuwachuna sana wata kakaaa japo
kidogo,shida yenu kila siku mizinga ndio maana wanasepa.

kunamsichana nilikutana naye then tukaishia kutambulisha na kubadilisha contacts cha ajaabu jioni ana ni bpu nampigia eti anasema nimuongezee vocha,mbona aliisoma plate no.
 



elimu ya nyota balaaaa!!
J=jesus,j.k nyerere,john paul wa pili,
M=Muhamad,Musa,
 

equally, Mungu hapendi mnavyodungana ovyo bila kufuata utaratibu aliouweka
 
pole sana...ila wanawake wa kibongo noma kweli! mmezidi mno michuno. tunachoka na tabia ya kufanywa ATM machine! kwa mtindo huo wanaume wanafanya hit & run tu!
 
asante kwa kunikera kiasi hicho na kutoa maropoko yako hapa ila nakutakia xmass njema na siku njema hizo herufi nilizotoa hapo baadhi wa wanaume wanaoanzia na herufi hizo hapo juu wanaongoza lwa kiasi kikubwa sana na nimefanya utafiti wangu nikagundua kuwa hata wale wenye majina yanayoanzia na David, daudi, davis, james, jimmy, musa, hussein na mohamed,nao wanaongoza kwa kasi ya ajabu kama kasi ya mwendo wa herikopta yaani we acha tu ila samahani kama wataboreka niliowataja haya majina ni sample tu niliyofanya mm.@njagu
 
Tatizo madada zetu mmezidi, unamfahamu jamaa kwa siku moja tu...una mfanya RED CROSS...
RED CROSS? IMF na WORLD BANK kabisa..as if money grows at the backyard tree....
 
aah,babu wee,mi napenda hela!coz ht nicpokuchuna,km kuniacha utaniacha 2!
So ladyfurahia,usiumie bana mbpna ckuhiz ngoma droo 2
 
lol! umeshusha vitu kwa mtiririko mzuri sana ila hapo kwenye rangi ndio umeharibu kila kitu. Hakuna ukweli wowote kwamba wanaume/wanawake wenye majina yanayoanzia na baadhi ya herufi fulani wanakuwa na tabia hizi ama zile. Mpe pole sana rafikiyo mwambie akikutana na njemba yenye jina linaloanzia herufi hizo aingie mitini haraka sana kabla hajaachwa tena solemba kwi kwi kwi kwi.


 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…