Kweli wewe ni malaika

Kweli wewe ni malaika

Ukuta wa kioo umemzuia mfalme wa nyika. Huwezi dhania kuwa eti kwa sababu ni mtoto huyo simba anatapa huruma. Simba kama walivyo wanyama wengine wanaongozwa na silka sio hulka. Mtoto anabahati yupo upande wa pili wa huo ukuta wa kioo. Picha nzuri hatahivyo.:llama:
 
Lakini pia wanyama wengi ni walinzi wazuri wa wa mtoto na ni mara chache mno kukuta wamewadhuru watoto unakumbuka simba wa Tsavo Kenya na Serengeti Tanzania ?
 
Mnyama wa porini anakuwaje mlinzi wa watoto wakati watoto hawaishi porini! Au Mungu alimaanisha nini kuwaweka mbali na binadamu!!

Kuna sababu nyingine kwanini watoto wamekuwa wakibahatika kutodhurika nao.
 
Ukuta wa kioo umemzuia mfalme wa nyika. Huwezi dhania kuwa eti kwa sababu ni mtoto huyo simba anatapa huruma. Simba kama walivyo wanyama wengine wanaongozwa na silka sio hulka. Mtoto anabahati yupo upande wa pili wa huo ukuta wa kioo. Picha nzuri hatahivyo.:llama:

Hata hivyo, huyo simba haonekani kuwa serious na huyo mtoto, ni kama anajaribu kumchokoza chokoza.
 
Lakini pia wanyama wengi ni walinzi wazuri wa wa mtoto na ni mara chache mno kukuta wamewadhuru watoto unakumbuka simba wa Tsavo Kenya na Serengeti Tanzania ?

Nakumbuka kisa hicho ila kamwe hatuwezi tumia visa vichache kusema wanyama wakali wanaweza wakawa walinzi kwa watoto. Hii ni hatari, labda mnyama awe amepata mafunzo maalum ndio tunaweza pata uhakika. Ukifika mbugani au sehemu yoyote yenye wanyama wakali lazima uchukue tahadhari kulinda watoto kama unao. Simba ni hatari kuna visa vingi sana Simba kuua watoto wadogo kuliko Simba kulinda watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom