Kweli wewe ni Kichaa

Rastad

Member
Oct 3, 2011
13
3
Kuna jamaa mmoja alikuwa amebebwa kinguvu kupelekwa milembe baada kuonekana ni kichaa,sasa jamaa akawa anajaribu kujitetea: Jamaa: jaman naomba muelewe kuwa mimi sio kichaa kwani naelewa mambo mengi kwa mfano Obama ni raisi wa marekani, simba na yanga ni watani wa jadi hata hesabu ninazijua mfano 3 mara 3 ni tisa. Wananchi: kweli wewe ni kichaa unaongea mambo mengi tena ya ovyo
 

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,914
1,115
Nina Wasiwasi na mimi ni kama nina kichaa kusoma hii thread ya critical kichaa, maana alichoandika mh!
 

Mwanaume

Senior Member
Oct 11, 2009
133
23
scientifically kila mtu ni kichaa. Ila degree ya ukichaa ni tofauti kwa kila binadamu.
 

CYPRIAN MKALI

Senior Member
Nov 12, 2010
176
63
scientifically kila mtu ni kichaa. Ila degree ya ukichaa ni tofauti kwa kila binadamu.

si kwamba wote ni vichaa ila kuna limit fulani below there mtu anaitwa kichaa ila sema uwezo unaweza kuwa tofauti ila kama upo within the range sio kichaa. ndo maana kuna geneous na slow learners in class ila sio vichaa sema digrii tofauti.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom