Kweli watu wema bado wapo

Nilikua nimekaa siku moja sina hili wa lile, basi kuna bi dada mmoja nilikua nimesahau ata kama niliwahi kumtongoza, hamadi napigiwa simu niende nikapewe papuchi, kweli wanawake wema bado wapo.
hahaaa nipatie namba ZA HUYO DADA MKUU
 
Tupo,mie juzi nimeeda min market nikanunua vitu nikatoa hela mmama akanizidishia Chang zaidi ya mara 3.
Nikamrudishia nilipogundua baada ya kufika nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom