macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,824
- 39,661
Hili ni jambo la kawaida kabisa. Picha lazima iendane na mazingira ya tukio. Umewahi kuona matangazo ya mashirika makubwa kama Red Cross, Unicef au mashirika makubwa ya misaada wanapoomba donation kwenye TV? Umewahi kuhudhuria mazishi? Sauti ya ma-MC inakuwaje? Kw kifupi ni lazima picha inayotumika kwenye kuomba msaada imkumbushe au kumwonyesha mtoa msaada mtarajiwa ni kwanini msaada unaombwa.CHADEMA kwenye michango ndo wanatumiaga picha ya Lissu na Magongo lakin kwenye ziara za marekani hatuyaoni CHADEMA nyie CHADEMA mungu anawaona ujueππππ
Akipanga kuinanga serikali anapitia kwa kinyozi na kunyoa kiduku na kutupia suti ya vipande vitatu, lakini akitaka kutapeli michango anachechemea na magongo huku akitia sura ya huruma. Kazi ipo.CHADEMA kwenye michango ndo wanatumiaga picha ya Lissu na Magongo lakin kwenye ziara za marekani hatuyaoni CHADEMA nyie CHADEMA mungu anawaona ujueππππ
CHADEMA kwenye michango ndo wanatumiaga picha ya Lissu na Magongo lakin kwenye ziara za marekani hatuyaoni CHADEMA nyie CHADEMA mungu anawaona ujueππππ
Akipanga kuinanga serikali anapitia kwa kinyozi na kunyoa kiduku na kutupia suti ya vipande vitatu, lakini akitaka kutapeli michango anachechemea na magongo huku akitia sura ya huruma. Kazi ipo.
Hahahahahaaa...CHADEMA kwenye michango ndo wanatumiaga picha ya Lissu na Magongo lakin kwenye ziara za marekani hatuyaoni CHADEMA nyie CHADEMA mungu anawaona ujue
Upuuzi mtupu.Yaan ww ni hopeless kbs..bora britanica huwa anaijiwa na ufahamu ...hovyo kbs kuwah kutokea
Mwanaume kuwa na wivu wa kike kwa mwanaume mwenzio ni dalili za ushoga.CHADEMA kwenye michango ndo wanatumiaga picha ya Lissu na Magongo lakin kwenye ziara za marekani hatuyaoni CHADEMA nyie CHADEMA mungu anawaona ujue
Mwanaume kuwa na wivu wa kike kwa mwanaume mwenzio ni dalili za ushoga.
MHUBIRI 4:13 SUV
"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
Mbona mama yako ana magongo hatusemi?Akipanga kuinanga serikali anapitia kwa kinyozi na kunyoa kiduku na kutupia suti ya vipande vitatu, lakini akitaka kutapeli michango anachechemea na magongo huku akitia sura ya huruma. Kazi ipo.
Kila mtu hapa duniani atalipwa kwa matendo yake kwa binadamu wenzake, usije shangaa wewe ukafa na usipate michango hata laki moja...CHADEMA kwenye michango ndo wanatumiaga picha ya Lissu na Magongo lakin kwenye ziara za marekani hatuyaoni CHADEMA nyie CHADEMA mungu anawaona ujue
Upinzani upo Moyoni na si katika Kusema, Jiwe labda uuwe woote Watanzania hapo utaua Upinzani! Usikute hata Samia, Janeth na Majaliwa wanaweza Mchangia Lissu, labda wewe na Bashite ndiyo hamuwezi.
Kama Jiwe anavyotaka kuwadanganya Watanzania huongea kwa sauti ya upole huku akisema "msema kweri ni Mpenzi wa Mungu"Akipanga kuinanga serikali anapitia kwa kinyozi na kunyoa kiduku na kutupia suti ya vipande vitatu, lakini akitaka kutapeli michango anachechemea na magongo huku akitia sura ya huruma. Kazi ipo.