Kweli wanatofautiana.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli wanatofautiana..

Discussion in 'Jamii Photos' started by TANMO, Nov 29, 2011.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nimeziangalia hizi picha kwa umakini na nimegundua kuwa:
  Kati ya wajumbe wote wa Serikali kwenye hiki kikao hakuna hata mmoja aliyejishughulisha kuweka kumbukumbu za kikao,
  Ilhali kwa upande wa CHADEMA kila mmoja yuko bize kuandika kile kinachojadiliwa.
  Je ndiyo tuseme kuwa wawakilishi wa Serikali walikuwa tayari na majibu ya nini kitakachoamuliwa hivyo hawakuhitaji kuweka kumbukumbu ya kinachoongelewa?
  ama Hawako makini na majukumu yao ya kila siku kiasi cha kufikia ku-relax kwenye ishu nyeti kama hii?
  If the later is true; inatupa picha gani wananchi juu ya vikao wanavyotuwakilisha sehemu nyingine?
  ch2.jpg

  TA4.jpg

  TA1.jpg
   
 2. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wote vilaza na wamezoea kuchukulia mabo yote kirahisi
   
 3. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri ni kweli kabisa
   
 4. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
   
 5. H

  Hussein Njovu Senior Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 25, 2006
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi naona wanafanana kwani wote wanapitia makubaliano yaliyofikiwa ila tukitaka tunaweza kupotoshana na kusema kwamba hawa wanachukua "notes" na hawa wanapitia makubaliano nasi tukaamini.

  [​IMG]
   
 6. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Watu akili yote iko kwenye posho sasa kumbukumbu zitawasaidia nini?
   
 7. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  nami pia nimeamua kuchukua muda kuzisoma hizi picha, kabla ya hapo niliona ni picha tu lakini ni wazi kuwa hawa watu wa serikali are too arrogant au ni ujinga tu maana wenzetu wanasema katika majadiliano ni lazima uchukue minutes.
  Unless kama ulivyosema kuwa wapo wanajua hata wakijadili vipi majibu wanayo (hata kama yanasema 1+1=11) na hawako tayari kuyabadilisha, sana sana wanasubiri posho ya huo mkutano!
  Inasikitisha sana!
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Nafikiri kuna kaposho wanangoja.
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli magamba akili zao hela tu, cjui kwanini hawariziki na walizokwisha iba
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndivyo wajulikanavyo magamba
   
 12. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  a
  Huo ndo ulevi wa madaraka. Hawa wameshalewa. Hawasomi, hawanampango, wnaamini kila kitu kikopoa
   
Loading...