kweli vyandarua vya Bush vimesaidia wengi!!

Ntumami

Senior Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
127
Reaction score
23
haya nimeona mwenyewe kwa macho yangu nikajaribu angalau kuchukua baadhi ya picha kwa kutumia camera ya simu na nikapata hizi hapo.... hizo ni baadhi ya pcha nyingi za kuonyesha matumizi tofauti tofauti ya vyandarua vya bure ambavyo kidogo vifanane na "makokoro" ya wavuvi!! [I hope kanda ya ziwa wamenielewa ] kwa hawa jamaa nahisi ukisema malaria haikubaliki, wao hufikiri kuwa ni malaria does not bless you!!

Ikibidi ndio hivyo basi bado tupo nyuma sana kimaendeleo hahahahah itabidi watu waelimishwe vizuri kujua madhara ya Mbu......
 
Bado tuna safari ndefu sana
 
Ikibidi ndio hivyo basi bado tupo nyuma sana kimaendeleo hahahahah itabidi watu waelimishwe vizuri kujua madhara ya Mbu......

matundu ni makubwa sana, yanapitisha mbu wawili wawili, bwana na bibi harusi bila kikwazo chochote ndo maana jamaa wametafuta matumizi mbadala ya vyandarua hivyo
 
Ishu si kwamba watu hawajui matumizi ya vyandarau tatizo vyandaru ni saizi ndogo unakitanda cha futi 5 unapewa chandarua cha futi 2 how comes
 
Hawa watoaji walitakiwa kutoa elimu kwanza ya hizo chandarua ndio wagawe,asa wanagawia watu ambao maisha yao yote hawajawahi kutumia net wanatarajia nn!
 
huyu ndiye anayejua matumizi sahihi ya chandarua.
 
Vyandarua hizi zinapunguza nguvu za kiume hao jamaa wamefanya uchunguzi wakagundua wakatupa wako sahihi kabisa. Maana nimpango wa marekani kutumaliza waafrika
 
matundu ni makubwa sana, yanapitisha mbu wawili wawili, bwana na bibi harusi bila kikwazo chochote ndo maana jamaa wametafuta matumizi mbadala ya vyandarua hivyo

Hivi vyandarua nadhani vinasabisha zaidi Malaria kuliko kuizuia - yale matundu hata kidole cha mtoto mchanga kinapita!
 
Vyandaru vimegaiwa,ila namna ya kuvitumia ndo hatujaambiwa
 
unatumia nini kufikiria???
unaweza kutupa source???
Vyandarua hizi zinapunguza nguvu za kiume hao jamaa wamefanya uchunguzi wakagundua wakatupa wako sahihi kabisa. Maana nimpango wa marekani kutumaliza waafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…