Kweli utu ni pesa, angalia picha hii kwa makini

LARRYBWAY

Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
82
Reaction score
5
bak4_0aef7.jpg

HII ILIKUWA KWENYE HARAMBEE YA KUCHANGIA CHUO KIKUU CHA AL-HARAMAIN, AMBAPO MWENYEKITI MTENDAAJI WA MAKAMPUNI YA IPP NA RADIO MHE😀R.REGINALD MENGI ALITOA KIASI CHA 100MILLION KATIKA HARAMBEE HIYO NA MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI MHESHIMIWA JAMES MBATIA ALITOA SHILINGI MILLIONI MBILI KATIKA HARAMBEE HIYO ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA SERENA.

KATIKA PICHA NAONA MHESHIMIWA AMEMCHANGAMKIA KWELI MHESHIMIWA MENGI HATA PALE MBATIA ALIPOJARIBU KUMPA MKONO DIZAINI KAMA ALIKUWA ANAMPOTEZEA FLANI IVI, HUO NI MTAZAMO WANGU BINAFSI, HAYO NDIO MAMBO YA KISIASA.
 
Naona umegeuka Hussein Yahaya na kuwa mtabiri. Hapo utajuaje kamchangamkia mtu mmoja?

Mwingine atasema kamdharau Mengi kwa kumpa mkono wa kushoto.

watu mnataka kutengeneza mlima Kilimanjaro kutokana na kichuguu. Tumieni muda kufikiri ya maana badala ya hizi siasa chafu kila saa.
 
'huyu mi namwachia nji ii, watu hawajajua. Mpeni ushiri ...ushirikiano kweli'
 
bak4_0aef7.jpg

HII ILIKUWA KWENYE HARAMBEE YA KUCHANGIA CHUO KIKUU CHA AL-HARAMAIN, AMBAPO MWENYEKITI MTENDAAJI WA MAKAMPUNI YA IPP NA RADIO MHE😀R.REGINALD MENGI ALITOA KIASI CHA 100MILLION KATIKA HARAMBEE HIYO NA MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI MHESHIMIWA JAMES MBATIA ALITOA SHILINGI MILLIONI MBILI KATIKA HARAMBEE HIYO ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA SERENA.

KATIKA PICHA NAONA MHESHIMIWA AMEMCHANGAMKIA KWELI MHESHIMIWA MENGI HATA PALE MBATIA ALIPOJARIBU KUMPA MKONO DIZAINI KAMA ALIKUWA ANAMPOTEZEA FLANI IVI, HUO NI MTAZAMO WANGU BINAFSI, HAYO NDIO MAMBO YA KISIASA.

Yes they smile at you while calling you qafir.
 
sidhani kama kampotezea Mbatia angalia mkono wa kulia ndio ameshikana na Mbatia.
sioni shida katika hii picha.
 
bak4_0aef7.jpg

HII ILIKUWA KWENYE HARAMBEE YA KUCHANGIA CHUO KIKUU CHA AL-HARAMAIN, AMBAPO MWENYEKITI MTENDAAJI WA MAKAMPUNI YA IPP NA RADIO MHE😀R.REGINALD MENGI ALITOA KIASI CHA 100MILLION KATIKA HARAMBEE HIYO NA MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI MHESHIMIWA JAMES MBATIA ALITOA SHILINGI MILLIONI MBILI KATIKA HARAMBEE HIYO ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA SERENA.

KATIKA PICHA NAONA MHESHIMIWA AMEMCHANGAMKIA KWELI MHESHIMIWA MENGI HATA PALE MBATIA ALIPOJARIBU KUMPA MKONO DIZAINI KAMA ALIKUWA ANAMPOTEZEA FLANI IVI, HUO NI MTAZAMO WANGU BINAFSI, HAYO NDIO MAMBO YA KISIASA.
samahni wakuu kuuliza si Ujinga! hivi huyo hapo nyma si ndio Ighondu tunayemsikiaga kuwa ni mtaalam wa kunyofoa kucha na meno kavu kavu? samahi kwa usumbufu
 
Hiyo ni picha tu inawezekana alishamsalimia mbatia kwanza na hapo kamgeukia mengi anasalimiana nae akiwa bado kamshika mkino mbatia...sometime we need to be positive thinker.
 
umaarufu wa rejareja pia ni ghali mno, Nadhani hiki kingekuwa kichwa mahsusi
 
Wakwere na wakwasi tu hao. Kwa hiyo wanampotezea mbatia
 
bak4_0aef7.jpg

HII ILIKUWA KWENYE HARAMBEE YA KUCHANGIA CHUO KIKUU CHA AL-HARAMAIN, AMBAPO MWENYEKITI MTENDAAJI WA MAKAMPUNI YA IPP NA RADIO MHE😀R.REGINALD MENGI ALITOA KIASI CHA 100MILLION KATIKA HARAMBEE HIYO NA MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI MHESHIMIWA JAMES MBATIA ALITOA SHILINGI MILLIONI MBILI KATIKA HARAMBEE HIYO ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA SERENA.

KATIKA PICHA NAONA MHESHIMIWA AMEMCHANGAMKIA KWELI MHESHIMIWA MENGI HATA PALE MBATIA ALIPOJARIBU KUMPA MKONO DIZAINI KAMA ALIKUWA ANAMPOTEZEA FLANI IVI, HUO NI MTAZAMO WANGU BINAFSI, HAYO NDIO MAMBO YA KISIASA.

As usual, kawaida yetu WaTZ. hatunaga focus-kukurupuka tu au kujipendekeza (wawili wakiongea wamalize kwanza ndipo ujilete!!)
 
Back
Top Bottom