Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,896
- 155,925
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hatoiacha hata atakapokuwa mzee
Kweli hapo utakuta mama anamdharau baba na anampenda litoto hilo. Usishangae ukikuta kesho yake yupo hapo nyumbani. Kwa kawaida mama ni dira ya watoto hasa wa kiume, mama akikudharau jua hata watoto wanakudharau mara mbili. Mama akikuheshimu mbele za watu, piga ua watoto watakuheshimu.Huku ni kuonyesha kuwa ndani ya familia Kuna kasoro kubwa kimaadili, huyo baba ni tatizo na mtoto ndo zaidi wanahitaji msaada na unasihi wa kutosha
Huyo mtoto akili yake ni sawa na ya yule mbunge wa upande ule ambaye Yuki kule kwa sasaJuzi tr 25/12 siku ya kusherehekea krismas kabisa, katika hali isiyokuwa ya kawaida, kijana mmoja wa kiume miaka 19 alifukuzwa na baba yake baada ya kumtukana baba yake eti ni mse..ge, kule tabata.
Tendo la mtoto kumtukana baba yake hivo kwa kuwa tu eti mtoto hapendi kazi za baba yake wakati kamtunza hadi umri huo, nilichukulia kama ni ujana.
Lakini nilibaki na swali.
Hivi baba yake kumfukuza alifanya sawa?
au alitakiwa kumsamehe kama mtoto wake?
naomba mchango wa mawazo yako katika hili
Mkuu,Kuna kitu kimoja napenda sana kujifunza kupitia kwa watoto wadogo ,kabla ya kumuhukumu huyo dogo hebu tupe ukweli ,huwezi kuitwa mssenge kwa kazi unayofanya kuna kitu kipo nyuma ya pazia
Mwisho kunapotokea tatizo jaribu kujiuliza what's wrong with me kabla ya kubebesha wengine mizigo yako