Kweli tumetoka mbali!!

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
DSC03143.JPG

kutoka kulia; Erickb52, akifuatiwa na Mphamvu, halafu nyuma pale yupo BAGAH, akifuatiwa na Preta, akifuatiwa Mamndenyi akiwa amembeba charminglady mgongoni, anayefuata ni Nicas Mtei, kwa mbali kidogo nawaona uncle Bishanga na The secretary wakiongea..... naona wametoka mbali sana hawa!!

mimi ndiye nilipiga picha, kava la kamera nilishikiwa na Kongosho!!!

Jamani kweli mmetoka mbali!!
 
Teh we dodgo acha utani..!
Unanifanya nimkumbuke sana Mwalimu Nyerere!
Niko kwenye maombolezo ya NSSF zangu kuliwa na serikali naomba nipotee kwanza hadi ntakapomaliza machungu na kukubaliana na hali halisi ya JK.
Salamu zangu kwa WanachitChat wote!
 
Pole mwaya!
Serikali yetu haifai hata kidogo.
Tuandamane.
 
duh picha huwa zinakumbusha mambo mengi sana has saa hizi tunavyojitia wamjini halafu angalia vipicha vya zamani vya black and white tulivyokuwa mie huwa nakaa naangalia nakumbuka mbaali nacheka sana
 
Khaa!
Kumbe nyie wote mlizaliwa Tz ?
Aisey pole zenu! Bora sie waTz tuliozaliwa ughaibuni !
 
Teh we dodgo acha utani..!
Unanifanya nimkumbuke sana Mwalimu Nyerere!
Niko kwenye maombolezo ya NSSF zangu kuliwa na serikali naomba nipotee kwanza hadi ntakapomaliza machungu na kukubaliana na hali halisi ya JK.
Salamu zangu kwa WanachitChat wote!
mwahhh Erickb52! hav mithd u khaaaaaaa! niwakilishe kwenye kilio chako, tupo pamoko!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom