ndoa za 'mitama' ni zile ukifika kitandani unaangukiwa kama ukuta wa ubungo, hakuna preparesheni.
Mentor ndo ivo ivo nimalize chuo nije zanzibar au tanzania uko kote kumejaaa wazenj ata bongo muhimu muislam too awe na tabia na hulka za kiislam ila nikimpenda ndo nianze process za kumchukua lakini kunatisha navoskia kila mtu ana wake. KUMEKUCHA UKOOO??? Kweli. Daaa mazali ninasoma sitoshindwa kumleta
ndoa za 'mitama' ni zile ukifika kitandani unaangukiwa kama ukuta wa ubungo, hakuna preparesheni.
Jamani naombeni ushauri. Mii kaazi wa Admonton Canada sasa nipo chuo ila nimepanga nikimaliza chuo baada ya 2 years nije kwetu kuolewa ni mzenj because hao wa huku nilowaona sijawapenda kitabia. Tabia zao ni zile zile za kufaaa vidani na mie familia yangu nataka iwe ya maadili ya home.nimejitahidi kumkerebisha kijana mmoja alinipenda ila hapendi mtu amwingilie katika maisha yake anasema huku free kila mtu anaishi apendavyo. Kwa vile ni mdogo sana nimeacha na hayo mapenzi nipo 22 sasa napiga kitabu ila suali kweli nikija uko nitapata mchumba mana naskia kila mtu na wake.Naogopa nisije danganywa mie mana maisha yangu ni ya huku ata kama nikiolew nitaishi huku itabidi nimchukue tooo mana wazazi na familia huku.SAMAHANINI KWAupungufu wa kuandika swahili