Kweli Tanzania nitapata mkweli huko?

Kweli Tanzania nitapata mkweli huko?

endelea ku-dream, ukija kuamka, ishirini wako kwenye pant yako.

Kongosho mapenzi kokote haijalishi wapi. Mii siangalii pochi wala iyo ready made wa tanz nataka mapenzi ya kweli na mtu mwenye tabia nnazo dream. huwezi kukurupuka bora jitahidi kufatilia ni maisha yanayozungumzwa
 
Last edited by a moderator:
hahaha yule nimeachana nae nashuhulikia masomo simtaki tabia zake na mie tofauti punainen-red ndo mana nataka rudi home sweet home. Na mie kwa vile nasoma na nimetulia kwanini nipate watu wahuni na wasio sielewa is not fair punainen-red
 
Last edited by a moderator:
Mentor ndo ivo ivo nimalize chuo nije zanzibar au tanzania uko kote kumejaaa wazenj ata bongo muhimu muislam too awe na tabia na hulka za kiislam ila nikimpenda ndo nianze process za kumchukua lakini kunatisha navoskia kila mtu ana wake. KUMEKUCHA UKOOO??? Kweli. Daaa mazali ninasoma sitoshindwa kumleta
Hapa unamaanisha kuchoma Makanisa au ni mimi ndio sijakuelewa? maana kiongozi wao yupo jela anaoza huko kwa kesi za uchochezi na ugaidi.
 
bidodo,
unaonekana kama upo serious na hapo ndipo unaponisikitisha na kuntisha..u r so out of touch with reality mdogo wangu!
 
Last edited by a moderator:
Hapa unamaanisha kuchoma Makanisa au ni mimi ndio sijakuelewa? maana kiongozi wao yupo jela anaoza huko kwa kesi za uchochezi na ugaidi.

Kwi kwi kwi tehe tehe we chizi kweli nimecheka hadi nimemuamsha mtu.
 
Hujafahamu @ Matola miii sikusudii kuchoma makanisa naheshimu watu wa believe tofauti ila mii Muislamu nitaolewa na muislam mwenzangu dini yangu ndo inaniruhusu ivo samahani usinielewe vibaya
 
Billie tatizo si mitala ilo neno geni kwangu ila ukiweka wazi najua
 
Last edited by a moderator:
loooo chizi mwenyewe Billie ivi mbona watu wengine wako iviiiiiiiiii ningekua chizi nisingekua na quetion maisha ya baadae lol ilo ndo muhimu
 
Last edited by a moderator:
Hujafahamu @ Matola miii sikusudii kuchoma makanisa naheshimu watu wa believe tofauti ila mii Muislamu nitaolewa na muislam mwenzangu dini yangu ndo inaniruhusu ivo samahani usinielewe vibaya
Ukitaka kuukoleza vizuri huo Uislamu wako ni kwa nini usiende kusoma Uarabuni na badala yake unakwenda nchi ya Makafir Canada?
 
wee @ Matola una umri gani hivi mbona nakushinda akili hufahamu, naona uwarabuni na uko wako waislam na wakristo na sijakutukana hapa elewa hilo. Canada ni sehemu too ya maisha yangu niliyojaaaaliwa sina makosa sijajileta mwenyewe huuku. kwa iyo iyo nchi ya makafiri naiheshimu na wao wananiheshimu mana ndo nasoma Mashule yao na wewe pia sijakuvunjia heshiiima upooooooooooooooooooooooo apo chacha umelikoroga mwenyewe lichweeeeeeeeeeeeee ehhhhhhhhhhhhhhh usinilaumu
 
kwani lazima uolewe na mzenji mwenzio? Au canada hakuna wanaume?

Rudi tu bongo uopoe serengeti boy wako huwezi kukosa maana vijana wanatafuta kuvutwa
 
wee @ Matola una umri gani hivi mbona nakushinda akili hufahamu, naona uwarabuni na uko wako waislam na wakristo na sijakutukana hapa elewa hilo. Canada ni sehemu too ya maisha yangu niliyojaaaaliwa sina makosa sijajileta mwenyewe huuku. kwa iyo iyo nchi ya makafiri naiheshimu na wao wananiheshimu mana ndo nasoma Mashule yao na wewe pia sijakuvunjia heshiiima upooooooooooooooooooooooo apo chacha umelikoroga mwenyewe lichweeeeeeeeeeeeee ehhhhhhhhhhhhhhh usinilaumu
Baniani mbaya kiatu chake dawa, si mnawaita Wakristo Makafir? sasa mbona hamuendi kusoma Uarabuni ili kutimiza sunna za mtume? au Canada kuna Mahakama ya kadhi?
 
loooo chizi mwenyewe Billie ivi mbona watu wengine wako iviiiiiiiiii ningekua chizi nisingekua na quetion maisha ya baadae lol ilo ndo muhimu

Dia chizi sio wewe chizi ni Matola kwa kuongea kitu cha ajabu. sorry kama umetafsiri vibaya.
 
Last edited by a moderator:
You mean Edmonton? Labda uhamie Ontario, BC au Quebec kama kifaransa kinapanda. Mbona inawezekana kabisa kumpata umpendae Canada? Naona hujatafuta vizuri au umekata tamaa baada ya kuwa nae mmoja. Alikuwa ni mtu wa wapi? Waafrika, caribbean na waarabu mbona wako weengi. You just need to be in the right province and have realistic expectations of what you want in a mate. 22 bado mdogo. Canada is a melting pot. Si lazima urudi Zanzibar kutafuta mume. Love sees no colour. Best of luck.

Jamani naombeni ushauri. Mii kaazi wa Admonton Canada sasa nipo chuo ila nimepanga nikimaliza chuo baada ya 2 years nije kwetu kuolewa ni mzenj because hao wa huku nilowaona sijawapenda kitabia. Tabia zao ni zile zile za kufaaa vidani na mie familia yangu nataka iwe ya maadili ya home.nimejitahidi kumkerebisha kijana mmoja alinipenda ila hapendi mtu amwingilie katika maisha yake anasema huku free kila mtu anaishi apendavyo. Kwa vile ni mdogo sana nimeacha na hayo mapenzi nipo 22 sasa napiga kitabu ila suali kweli nikija uko nitapata mchumba mana naskia kila mtu na wake.Naogopa nisije danganywa mie mana maisha yangu ni ya huku ata kama nikiolew nitaishi huku itabidi nimchukue tooo mana wazazi na familia huku.SAMAHANINI KWAupungufu wa kuandika swahili
 
bidodo, yaani nimekupenda ghafla. yaani sifa zote unazozihitaji zinazo, achana na hawa wabara akina Matola chuki zimewajaa na vijiba vya lohoni, hebu ni-PM mpenzi tuufunge uzi huu tuwaache wambeya vinywa wazi/
 
Last edited by a moderator:
bi dodo wala usijali.kwa maelezo yako jf,usubiri pm tu.maombi yako yameshakubalika.hauna haja ya kwenda mbali,ila kuwa makini.kuna mmoja humu alitaka mchumba awe na maadili ya kiislamu.utapata tu usijali
 
ushaniogopesha apo siji tena ila nimekuelewa thanx @ BADILI TABIA
 
Back
Top Bottom