Kweli Tanzania aliyetuloga kafariki

Kweli Tanzania aliyetuloga kafariki

Msiishie kulaumu tu. Kumbukeni mabadiliko huanza na wewe mwenyewe! Rejeeni Newtons First law of Motion. A body will remain in its state of motion unless an external force is acted upon it.
 
Inasikitisha sana, tunakua wa kudandia mambo na kuacha sijui viongozi wetu akiwemo Raisi wamechukuliwa misukule ama vipi, walianza na KATIBA MPYA, hawakumaliza wakaja VITAMBULISHO VYA URAIA hawakumaliza wakaja BVR, sijui hili wanaweza kuliacha warukie lipi!

Serikali imechoka, wanao mshauri muheshimiwa wamechokaa............kwahiyo ni nothing kwa awamu hiiii......
 
Hakuna kitu serikali ya Tanzania wataanzisha na wakamaliza hata huu muradi wa mabasi ya Mwendo kasi Dar nalenyewe naona halina mwelekeo
 
Back
Top Bottom