kweli sisi tumelaaniwa..

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
nimesoma habari kwamba tanzania itapeleka watu zaidi ya 60 kule copenhagen kuhudhuria mkutano wa kupunguza joto duniani.na ukiangalia nchi kama kenya,south africa na china zitapeleka watu si zaidi ya 20.kweli sis tumelaaniwa?sis tuna viwanda vingapi,ambayo inatufanya tupeleke watu wote hawo?
pia kuna taarifa kwamba tanzania imeongoza in africa kupeleka washiriki kwenye mikutano mbali mbali zilizotokea hapo duniani mwaka huu.mimi sometimes niksoma hizi taarifa machozi yana nitoka,natamani nihame hii dunia.nisaidieni jamaani,hii nchi itanifanya nipate ugonjwa wa akili...
 
Back
Top Bottom