Kweli Rwanda wamepita tanzania kiuchumi?

tunduma

New Member
Mar 17, 2011
3
0
mimi malanyingi sasikia kuwa Rwanda wampata mafanikio kuliko Tanzania
nikweli watu wanajua Rwanda
 
hdi_gdp_nyt.jpg
 
TANZANIA
Economic Facts
  • GDP per capita: $1,400
  • Labor Force: 20.38 million
  • External Debt: $5.311 billion
  • Public Debt: 22% of GDP
RWANDA
Economic Facts
  • GDP per capita: $900
  • Labor Force: 4.6 million
  • Exports: $219 million f.o.b.
  • External Debt: $1.4 billio
 
The economy of Rwanda in terms of its GDP is less than that of Arusha Region. Rwanda's exports are only $219 compared to over $5billion for Tanzania; Foreign reserves of Rwanda are less than $200million compared to almost $4billion for Tanzania. So please let us put everything in the right perspective.
 
The economy of Rwanda in terms of its GDP is less than that of Arusha Region. Rwanda's exports are only $219 compared to over $5billion for Tanzania; Foreign reserves of Rwanda are less than $200million compared to almost $4billion for Tanzania. So please let us put everything in the right perspective.
Mkuu.
Fedha zote hizi wanazopata Tanzania wanazifanyia nini?
Kitakwimu pia inaonekana Tanzania wanazo njuluku lakini mbona miundo mbinu mibovu. Umasikini hohe hahe! Elimu duni...Hospitali zetu hazisemeki kiasi ambacho watu wanakimbilia kwa "BABU".

Nini kinaendelea hapa Tanzania? Tutaishia kwenye Takwimu tu. Mbona ugumu wa maisha ya mtanzania unazidi kila siku?

Tuelewesheni haya mahesabu yenu. Mimi yananitia marue rue.
 
Kwa economies za kwetu, hiyo purchasing power parity (PPP) siyo kipimo kizuri hasa ukizingatia kuwa tuna makampuni mengi ambayo hayalipi kodi, na yameajiri watu wa nje tu; kwa hiyo mapato yote ya kampuni za namna hiyo hayasaidii katika maendeleo ya nchi huzika, kama Tanzania. Kipimo kizuri ni kile ambacho kitakuwa kinaondoa mapato ya nchi yanayokwenda nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na kuondoa uzalishaji unaofanywa na makampuni ya nje ambayo hayaajiri wananchi.
 
Ukitaka kuelewa vizuri, kwanza tofautisha GDP from GNP. Tanzania ina makampuni mengi yanayozalisha lakini faida kubwa inaenda nje(GDP) kiwango cha pesa inayozalishwa na kubaki humu ndani (GNP) ni kidogo sana ndo maana wananchi wengi ni masikini regardless na kuzungukwa na madhahabu na matanzanite.

In short we are fu****d up big time!!
 
Uwanja huu sasa wachumi wetu wa hapa TZ watufafanulie sasa badala ya kutuwekea tu GDP na GNP zisizokuwa na takwimu hatuwezi kuwaelewa. Tatizo la wasomi wetu ni ngumu sana kujipambanua kwenye viwanja kama hivi. Huyo jamaa kauliza swali zuri sana (ingawa kiswahili chake naye kimekaa tenge kidogo) ambalo linahitaji watu wetu walioenda shule ya uchumi watueleze hapa jukwaani.

Ni makampuni mangapi yanayopeleka fedha nje ya nchi kiasi cha sisi kutoona kama nchi imepiga hatua au inazidi kurudi nyuma? Hapa siasa haitakiwi ni mahesabu ya uchumi tu ili huyo mwuliza swali aipate picha halisi.
 
GDP ya Tanzania ni kubwa sana kuliko inavyoonyesha kwasababu hawajaweka Gas iliyopo Tanzania ambayo ni nyingi sana na inachangia kwenye maendeleo. Ghana kwa mfano wameweka na GDP yao namba zimepanda kwa 75%. Tanzania ina reserve ya pesa nyingi kuliko hata Kenya.
 
GDP ya Tanzania ni kubwa sana kuliko inavyoonyesha kwasababu hawajaweka Gas iliyopo Tanzania ambayo ni nyingi sana na inachangia kwenye maendeleo. Ghana kwa mfano wameweka na GDP yao namba zimepanda kwa 75%. Tanzania ina reserve ya pesa nyingi kuliko hata Kenya.
............any suppporting data? This can be very interesting because I see Kenya is doing things that Tanzania cannot even dream of. Kenya is building a huge international airport near Kilimanjaro ti Kill KIA and Tanzania has no response to that effort, Kenya is building a 10 lane highway between Nairobi and Thika, Tanzania is only crying to get donors support for building a simple flyover across the Morogoro Road-Nelson Mandela Expressway-Sam Nujoma junction
 
Back
Top Bottom