Kweli Rostam Aziz ni mnafiki sana

Kweli Rostam Aziz ni mnafiki sana

Alise siasa za CCM ni za uchwara, leo tena anazipigia debe! Tondo kabisa

Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go.

Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.
Mwenyekiti wenu Mkwe.re mwenyewe anamtegema Rostam ijekuwa kwa Pussy Nape

Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go.

Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.

Kusema Rostam ni mnafiki is an understatement. Huyu jamaa hastahili heshima ya kusikilizwa hata kidogo kwa maovu aliyoitendea nchi hii. Lakini Yana Mwisho haya!

R.A aliachia ngazi kwa hasira, lakini kwa upande wa pili akijua fika kuwa ccm watamhitaji kwa mambo mengi pamoja na kuwasaidia kuwavusha Igunga. Kama angegoma kuwasaidia kwa hasira zile zile, hakika angeona kilichomfanya kanga asiote manyoya shingoni. Angeshughulikiwa kichinichini katika biashara zake mpaka zife na si ajabu hata kesi ya Kagoda ingetinga mahakamani. R.A ameona mbali kwa KUUMA NA KUVUVIA.

Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go.

Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.

You have no idea of what you are talking about and better keep silent.

Lowassa hana kosa, chnege hana kosa na rostam hana kosa mpaka ahukumiwa..otherwise msiwasumbue watu na uhuru wao.

Nimtazame nani na nimwamini nani nani wananigeukia eeh kigeugeu heee kigeugeu heee kigeugeu wananigeukia,na Lowassa kigeugeu,Kikwete kigeugeu,NA Rost Ham kigeugeu na Nepi kigeugeu,Mukama kigeugeu,Mrema kigeugeu,Seif Amad kigeugeu,Lipumba Kigeugeu na Masaburi kigeugeu.

Mkuu, tunashukuru kwa ufafanuzi uliojitosheleza. Nadhani umetoa majibu yote yaliyokuwa yanaleta utata humu jamvini. Sasa ni jukumu la magwanda kuchukua au kuacha.

Kilaza aka JUHA.

Lowassa hana kosa, chnege hana kosa na rostam hana kosa mpaka ahukumiwa..otherwise msiwasumbue watu na uhuru wao.

Sasa ndio umejidhihilisha kwamba wewe kichwani ni mweupe kabisa,ehe endelea kulopoka tu.

@Nafikiri ujumbe uko kinyume, naamini Rostam ni shupavu na Nape ni kiherehere tu ndani ya CCM, japokuwa wote wawili ni wanafiki &wanyonyaji mbele ya macho ya watanzania. @Na huu ndio ushupavu wa Rostam dhidi ya Nape; 1/ROSTAM aliweza kuratibu Kifedha, Kiufundi & Kisanii mpango mzima wa JK kuingia madarakani kwa ushindi mkubwa mwaka 2005 kuanzia kwenye mchakato wa CCM kupata mgombea hadi kwenye uchaguzi mkuu wenyewe. Wakati Nape ameshindwa kabisa kufanikisha mpango wa JK kwa CCM kujivua magamba, sanasana tunaona porojo tupu na ngonjera za Nape kila kukisha. Nape kwa sasa anambwelambwela tu hajui nini hatma yake kisiasa, nafikiri sasa anajuta kukubali kutumiwa na JK kisiasa. 2/ROSTAM kawatukana viongozi wote wa CCM kuwa wanafanya siasa uchwara (Siasa za kitapeli na ujanjaujanja), hakuna mtu yoyote ndani ya CCM aliyejaribu kumpinga au kuhoji kauli hiyo nzito. 2/ROSTAM kaachia ubunge wake kwa ujasiri na mbwembwe, , wanaCCM wakaangua kilio&kuzimia hadharani kule Igunga na kisha Rostam akaenda zake kupumzika Uswis. Hakuna mtu yoyote ndani ya CCM alimbeza wala kuhoji uamuzi wake, bali kila mtu ndani ya CCM kampongeza au kapata kigugumizi, Kisha JK kampigia magoti ili aende Igunga kuokoa jahazi na kila kiongozi wa CCM aliyekwenda Igunga (akiwemo Nape) amemsifia sana Rostam kwa ushupavu wake kwa wanaIgunga. Sasa chama kizima kinahangaika kwa hali na mali, usiku na mchana kujaribu kurejesha jimbo ambalo Rostam aliamua kuliashia!! 3/NAPE akiwa Katibu Mwenezi-Itikadi wa CCM kapigwa marufuku kufika Igunga kwenye kampeni kwani atavuruga ushindi wa CCM kwenye uchaguzi, wakati huo huo Rostam mwanachama wa kawaida kaitwa Igunga kuokoa jahazi lisizame na kupokelewa kwa mbwembwe na makada walioko igunga!! 4/WAKATI kila kiongozi ndani ya CCM kwa sasa anamwona Rostam kama mtaji wa kisiasa na kifedha kwa CCM, Nape kwa sasa anaonekama kama mzigo mzito usioweza kubebeka ndani ya CCM na muda si mrefu watampiga chini ili akaendelee na siasa zake uchwara kwenye chama chake cha CCJ au CCK kwani wamechoka na ngonjera na majigambo yake ya kujivua gamba bila vitendo. @Kwa kifupi Nape si lolote kwa Rostam ndani ya CCM, hakuna jambo lolote Nape anaweza kujivunia kwa ushupavu dhidi ya Rostam ndani ya CCM, kwa ujumla Rostam anajua kutulia, kujipanga na kuratibu mambo yake ya kisiasa kwa umakini mkubwa sana, wakati huo yeye Nape anajua Kukurupuka, Kuropokaroka, Kuzusha mambo & kuyumbayumba kimsimamo. Hakika watu hawa wawili huwezi kuwalinganisha kwa uwezo wao wa kisiasa, wakati Rostam anajua anachokifanya, Nape hajui kabisa anachokifanya. NAWASILISHA!!

Kwa kweli ccm wanazidi kujidhalilisha, na hapa wanatuzihilishia kuwa chama chao hakiwezi fanya kazi bila mafisadi so hata mipango yao ni ya kifisadi zaidi! Wanajidai kusema RA kajipeleka wakati wao ndo walomualika! Hivi ni nani asiyejua kuwa harakati zao kule Igunga zinapumulia mashine thats why wameamua kujipendekeza kwa RA?? Kwa alichokifanya R kwa nchi hii wala hakustahili kusujudiwa kama wafanyavo magamba ila kwa kuwa kukumbatia mafisadi ni moja ya ilani za ccm basi bila shaka hivo ndo wana-negotiate na ufisadi alofanya kwa kuwa yale magamba menzake yamebaki kujazia fito kwenye chama. CCM wanafiki, RA mnafiki!

Rostam na Nape hawana tofauti ,ni viongozi wasio na dira wala muelekeo .Sioni sahihi kuwajadili tunapoteza muuda

hapa kuna mtu amekuja kwa jina jipya ila wa siku nyingi hapa kwani yeye alijipandisha jukwaani, aliweza kujiunga kwenye msafara bila taarifa acha hizo

Hivi kila siku najiuliza...................wanaoipenda ccm na kikwete, kweli ni watanzania?........

Similar Discussions

Back
Top Bottom