Kweli pesa zinaweza kufanya kila kitu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli pesa zinaweza kufanya kila kitu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Darwin, Feb 28, 2011.

 1. D

  Darwin JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Inashangaa kuona sasa ze orijinal komedi ndio wanaoifagilia serikali. Tembelea hii Youtube video wakati huo ambapo walikua hawako kwenye himaya ya CCM

  YouTube - Ze Comedy Ajali Za Tanzania ...Swahili comedy

  Masikini wamezibwa midomo na serikali hawana chakusema sasa. TBC na CCM imefanya kazi yake
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  usifanye mchezo na njaa wewe!!
  Kila kitu kinauzwa wewe.
   
Loading...